Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa.

Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa.

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa
1732879865205.jpg
,Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka,Popo au aina ya wadudu fulani

Follow magical power
 
Nyoka hana sumu chief....ana venom. Venom ni aina ya protein ambazo ukizila, au kunywa zinameng'enywa na mfumo wa mwili bila shaka yoyote.

Venom ni deadly ikiingia kwenye damu.
 
Back
Top Bottom