Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unaona mkanganyiko huo?Genge la Bashiru walitaka wamuweke Majaliwa kwahiyo asingepata hata hiyo miezi mitatu bila Mabeyo.
Mi naamini huyu ndiye atakaye leta mabadiliko yasiyo tegemewa, hata kama ni kwa njia ambayo hatukuitegemea itatufikisha huko kwenye mabadiliko hayo.SSH hapendi kupiga kampeni vijijini, mikoani, kusikiliza matatizo ya wananchi, kuongea nao au kukagua miradi au kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati, kukemea rushwa au kufukuza watendaji wabovu. Hana uwezo wa kushawishi watu kwa sera, maono yake, kazi zake au alichofanikisha
Yeye anachopenda ni kusafiri Ulaya, USA, Uarabuni, nje ya nchi.
Kwahiyo sababu hana ushawishi atatumia zaidi Polisi usalama, Tamisemi / tume ya uchaguzi, rushwa, wasiojulikana kushinda chaguzi zote mbeleni.
Wengi hamumjui Hamisi Tale Tale vizuri.Safari akiwemo Babu Tale hakunaga Siri hapo 🐼
Kwa maslahi ya Taifa, na kwa maslahi ya taifa tu wakati mwingine inabidi kufanya maamuzi magumu kuchagua lesser of two evils.Sasa unaona mkanganyiko huo?
Kwa upande mmoja, akina Mabeyo wanasimamia kwenye taratibu za Katiba, na kwa upande wa pili, genge likiwkuua radhi kukiuka hata hiyo katiba mbovu!
Matokeo yake ndiyo haya tunayo yashuhudia sasa; na tutaendelea kuyashuhudia sana chini ya taratibu zilizopo sasa.
Watanzania bado sana, pamoja na kwamba maisha ni magumu bado wanaweza kupata ugali, pia ni waoga sana.Mi naamini huyu ndiye atakaye leta mabadiliko yasiyo tegemewa, hata kama ni kwa njia ambayo hatukuitegemea itatufikisha huko kwenye mabadiliko hayo.
Kama Tanzania itashindikana kubadilika chini ya uongozi wa Samia; sijui kama kutakuwepo na mabadiliko tena. Maana yangu ni kuwa Samia ndiye atakaye kuwa sababu ya mabadiliko hayo.
Hata sijui; hilo genge kweli liliufahamu ubovu wa Samia kuwa ni wa kiasi hiki alicho onyesha hadi hapa tulipo fikia sasa baada ya kumjuwa vizuri?Kwa maslahi ya Taifa, na kwa maslahi ya taifa tu wakati mwingine inabidi kufanya maamuzi magumu kuchagua lesser of two evils.
Katiba yenyewe sasa hivi inaheshimiwa unaona yanayoendelea kwenye chaguzi za serikali za mitaa, Spika aliyepita alivyofukuzwa, sakata la DP World, misitu, Ngorongoro?
Kwa sasa neno Rais ndìo katiba yenyewe, yupo juu ya mihimili yote na katiba.
Mimi nitakufahamisha moja kwa moja. Katika hayo uliyo yaorodhesha kwenye aya yako ya pili, "dini" sasa ni tatizo, pamoja na kwamba watu hawataki kulisemea waziwazi.Watanzania bado sana, pamoja na kwamba maisha ni magumu bado wanaweza kupata ugali, pia ni waoga sana.
Nchi imegawanyika sana kupitia dini, makabila, kanda, vipato, mjini na vijijini, vyama lukuki. Hakuna umoja kwa maslahi ya Taifa.
Nchi hii inahitaji vijana kiongozi, anaweza kuiunganisha bila kujali vyama, dini, kabila, vipato, kanda nk Nchi inahitaji coalition ya vyama vyote na hata wanaCCM wenye uchungu na nchi yao kwa maslahi ya Taifa.
Tatizo lilianza walipomchagua kuwa makamu kwa vigezo visivyo na mashiko. Ni kama Democrats Biden na Kamala. Trump amejifunza sababu anaweza kufa madarakani. Amechagua at least competent deputy.Hata sijui; hilo genge kweli liliufahamu ubovu wa Samia kuwa ni wa kiasi hiki alicho onyesha hadi hapa tulipo fikia sasa baada ya kumjuwa vizuri?
Ni nani aliye juwa kuwa angekuwa mbovu kiasi hiki alicho onyesha hadi sasa!
Bado sioni unafuu au uhalali wa hatua hiyo iliyo taka kuchukuliwa na hilo genge. Tunapotoka kwenye njia sahihi na kuchukua njia za pembeni, hilo pekee ni tatizo kubwa
Hakuna tofauti yoyote, wanaisaidia nini nchi?Tofautisha chawa na TISS.
Nchi kama ipo ipo tu hiviKwani Kuna nini bandugu?
Bora ya Majaliwa kuliko balaa la sasaGenge la Bashiru walitaka wamuweke Majaliwa kwahiyo asingepata hata hiyo miezi mitatu bila Mabeyo.
are you serious😳Tanzania hatajawai pata rais mpenda haki kama samia na rais mskivu kama samia ,
Samia Suluhu Hassan goes down as the most incompetent and insecure President in Tanzania’s history.
Hiyo ni carry kabisa, bora angalau kupata sup 😂Walio/wanaoSOMA vyuo wana kitu wanaita kusap yaani unaweza kuona wenzako wanatunukiwa kwenye mahafari wewe umebaki hapo.
So kama hujaelewa baki hapo kwanza muda wako bado 😁!.
Fafanua kdg na sie tuelewe. DooohNyingine wanavujishaga makusudi
Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa
Nzito mno!
Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)
Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca