Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.

Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.

Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.

Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.

Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Hivi mpishi wake nae aliapishwa?
 
Walio/wanaoSOMA vyuo wana kitu wanaita kusap yaani unaweza kuona wenzako wanatunukiwa kwenye mahafari wewe umebaki hapo.

So kama hujaelewa baki hapo kwanza muda wako bado [emoji16]!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mitano tena ya nini kwa Mtu aliyekwisha jichokea? CCM haiwezi kama kufanya kosa hilo na kumuachia aliyechoka aendelee na jukumu zito la Nchi wakati vijana wenye nguvu na sifa wapo ndani ya CCM. Kung'ang'ania zaidi huenda Mungu akaamua kesi maana yeye huipenda Tanzania.
 
Mtakufa navyo vihiba vya roho.

Mama kaenda kumtayarishia sehemu ya kufikia Joe huko Kiwengwa.
Yani umenichekesha wewe😂😂😂, Joe alivyo msahaulifu asije akang'ang'ania pale ikulu ya Tunguu akidhan bado yu whitehouse
 
Kwa hali ilivyo kwa sasa Kasim Majaliwa ni afathali kabisa kwani hana shutuma za ufisadi za wazi kama wengine. Nathani ndio maana kawekewa Naibu Waziri Mkuu ili kumpunguza nguvu
Unamjua majaliwa wewe au unamuona tu kwenye TV?
 
Kwa hali ilivyo kwa sasa Kasim Majaliwa ni afathali kabisa kwani hana shutuma za ufisadi za wazi kama wengine. Nathani ndio maana kawekewa Naibu Waziri Mkuu ili kumpunguza nguvu
Japo CCM yote ni majangili lakini ana nafuu
 
Back
Top Bottom