Ikulumaliyawananch
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 339
- 533
hebu tupe ushahidi ktk tuhuma hizo!Kuna tatizo kubwa katika taifa letu. Huyu Rais Magufuli anatumia kodi za walipa kodi kuendesha makundi ya propaganda kwenye mitandao ya kijamii.
Pia anatumia mabilioni kununua wapizani njaa. Kutokana na huo ubadhilifu wa mali za uma sasa hofu imemuingia, sasa anacho fanya ni kuharibu taasisi zote zionekana mbaya zaidi kuliko yeye.
Na huu uharibifu umeathiri taasisisi za uma na za watu binafsi kama hii JamiiForums. Kwa mfano JamiiForums zamani ilikuwa na watu wanaoshidana kwa hoja zenye mshiko lakini sasa hivi JamiiForums imejaa watu wa kawaidakusifia Magufuli kwa kulipwa hela zilizochotwa kutoka kwenye kodi zetu.
Kuna tatizo kubwa katika taifa letu. Huyu Rais Magufuli anatumia kodi za walipa kodi kuendesha makundi ya propaganda kwenye mitandao ya kijamii.
Pia anatumia mabilioni kununua wapizani njaa. Kutokana na huo ubadhilifu wa mali za uma sasa hofu imemuingia, sasa anacho fanya ni kuharibu taasisi zote zionekana mbaya zaidi kuliko yeye.
Na huu uharibifu umeathiri taasisisi za uma na za watu binafsi kama hii JamiiForums. Kwa mfano JamiiForums zamani ilikuwa na watu wanaoshidana kwa hoja zenye mshiko lakini sasa hivi JamiiForums imejaa watu wa kawaidakusifia Magufuli kwa kulipwa hela zilizochotwa kutoka kwenye kodi zetu.
Kwa maoni yako Hawa nao wanafadhiliwa na Magu!
Eti mkutano mkuu wa chama cha upinzani media zote zinaogopa kurudisha matangazo live!!
Magufuli ni janga la nchi hii na watu wake kulko Corona na ukimwiKuna tatizo kubwa katika taifa letu. Huyu Rais Magufuli anatumia kodi za walipa kodi kuendesha makundi ya propaganda kwenye mitandao ya kijamii.
Pia anatumia mabilioni kununua wapizani njaa. Kutokana na huo ubadhilifu wa mali za uma sasa hofu imemuingia, sasa anacho fanya ni kuharibu taasisi zote zionekana mbaya zaidi kuliko yeye.
Na huu uharibifu umeathiri taasisisi za uma na za watu binafsi kama hii JamiiForums. Kwa mfano JamiiForums zamani ilikuwa na watu wanaoshidana kwa hoja zenye mshiko lakini sasa hivi JamiiForums imejaa watu wa kawaidakusifia Magufuli kwa kulipwa hela zilizochotwa kutoka kwenye kodi zetu.
Ushahidi unao wa kununuliwa watuKuna tatizo kubwa katika taifa letu. Huyu Rais Magufuli anatumia kodi za walipa kodi kuendesha makundi ya propaganda kwenye mitandao ya kijamii.
Pia anatumia mabilioni kununua wapizani njaa. Kutokana na huo ubadhilifu wa mali za uma sasa hofu imemuingia, sasa anacho fanya ni kuharibu taasisi zote zionekana mbaya zaidi kuliko yeye.
Na huu uharibifu umeathiri taasisisi za uma na za watu binafsi kama hii JamiiForums. Kwa mfano JamiiForums zamani ilikuwa na watu wanaoshidana kwa hoja zenye mshiko lakini sasa hivi JamiiForums imejaa watu wa kawaidakusifia Magufuli kwa kulipwa hela zilizochotwa kutoka kwenye kodi zetu.
Kufadhiliwa si lazima upewe keshi,Muro kwa mfano hakupewa keshi Ila alipewa madaraka na lazima aendelee kuyalinda kwa kufanya upuuzi,wewe pia unaweza kuwa umefadhiriwa in one way or another ndo maana unaona kushuka kwa uchumi kutoka kukua kwa kasi 7% mpaka 4% under Magufuri regime ni kulikomboa taifa letu kiuchumihebu tupe ushahidi ktk tuhuma hizo!
Yaani rais anadhamini wote wanaomuunga mkono ktk juhudi zake za kulikomboa taifa letu kiuchumi! Yaani hata mimi napoandika hapa nadhaminiwa na rais eeh! Ok, kwa mantiki hiyohiyo, ninyi nyote ambao kuchakuchwa mnampakazia rais wetu pendwa mnafadhiriwa na Mbowe au mawakala wa mabeberu eeh! unajua unapomtuhumu mtu hebu jaribu hata kuihusisha akili yako japo kiduchu tu! Au kama ndio uwezo wako wa kupambanua mambo ndio umefikia kikomo basi huyo rais Magu siyo ligi yako kabisa! Pambana na mtendaji wa mtaa wako…ingawa hata huyo sidhani kama utamuweza!
Majinga sana haya majamaa. Kazi kuzushia wenzao, wanalipwa, wanalipwa. Inawezekana wao ndio wanalipwa ili ionekane watu hawaipendi Serikali. Sasa maji yamewafika shingoni yanaanza kuropoka. Ipo siku yatasema ukweli na hiyo siku haipo mbali. Ni baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020!hebu tupe ushahidi ktk tuhuma hizo!
Yaani rais anadhamini wote wanaomuunga mkono ktk juhudi zake za kulikomboa taifa letu kiuchumi! Yaani hata mimi napoandika hapa nadhaminiwa na rais eeh! Ok, kwa mantiki hiyohiyo, ninyi nyote ambao kuchakuchwa mnampakazia rais wetu pendwa mnafadhiriwa na Mbowe au mawakala wa mabeberu eeh! unajua unapomtuhumu mtu hebu jaribu hata kuihusisha akili yako japo kiduchu tu! Au kama ndio uwezo wako wa kupambanua mambo ndio umefikia kikomo basi huyo rais Magu siyo ligi yako kabisa! Pambana na mtendaji wa mtaa wako…ingawa hata huyo sidhani kama utamuweza!
Huyo rais wako magu ndio ligi ya watendaji wa kata anaiweza maana anawamudu mbona haendi UN AU ULAYA KWA MARAIS WENZAKE !!?hebu tupe ushahidi ktk tuhuma hizo!