Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Majinga sana haya majamaa. Kazi kuzushia wenzao, wanalipwa, wanalipwa. Inawezekana wao ndio wanalipwa ili ionekane watu hawaipendi Serikali. Sasa maji yamewafika shingoni yanaanza kuropoka. Ipo siku yatasema ukweli na hiyo siku haipo mbali. Ni baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020!
IQ yako Ni sawa na kuku tu!
Hivi unafikiri kuwa Rais au kushika dola ndiyo una akili au mjanja kuliko watu wore milioni 50+?
CCM hebu Acheni huu wendawazimu na UDIKTETA wa KUTESA na kunyanyasa Watz wenzenu kwa vile tu wako vyama vya siasa nje ya CCM....!
Watz wapenda HAKI na DUNIA nzima imeshuhudia uovu huo....!
Ni swala la muda tu....!