Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Majinga sana haya majamaa. Kazi kuzushia wenzao, wanalipwa, wanalipwa. Inawezekana wao ndio wanalipwa ili ionekane watu hawaipendi Serikali. Sasa maji yamewafika shingoni yanaanza kuropoka. Ipo siku yatasema ukweli na hiyo siku haipo mbali. Ni baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020!
Huyo
Huyo rais wako magu ndio ligi ya watendaji wa kata anaiweza maana anawamudu mbona haendi UN AU ULAYA KWA MARAIS WENZAKE !!?
Magu ni rais wa Tz siyo wa UN fella! Obvious inabidi aendelee kuitengeneza Tz! Hao waliokuwa wanalala huko UN wametufanyia nini la maana zaidi ya kutuletea umaskini tu! Magu anampigia cross waziri wa mambo ya nje na mabalozi wetu nao wana'score'! Huhitaji kupiga cross afu unaifuata mwenyewe kwenda kuicheza fella!Huyo
Huyo rais wako magu ndio ligi ya watendaji wa kata anaiweza maana anawamudu mbona haendi UN AU ULAYA KWA MARAIS WENZAKE !!?
Mtazamo ndio hatima yako ndugu yangu! Kama akili yako umeifunga kiasi hicho na huwezi ona nje ya kabox hako ulikojifungia, basi pole yako!Kufadhiliwa si lazima upewe keshi,Muro kwa mfano hakupewa keshi Ila alipewa madaraka na lazima aendelee kuyalinda kwa kufanya upuuzi,wewe pia unaweza kuwa umefadhiriwa in one way or another ndo maana unaona kushuka kwa uchumi kutoka kukua kwa kasi 7% mpaka 4% under Magufuri regime ni kulikomboa taifa letu kiuchumi
Naye pia anaunga juhudi za Magu na siyo mtz! Swali naye pia analipwa na Magu! Maana akili yako ni finyu kuunganisha dots!Hiyo picha ina uhusiano gani na mada iliyopo mezani? Nyie ndio wale mmejazwa humu kuchafua mijadala ili kuficha ukweli unaosemwa kuhusu utawala huu. Tatizo sio kujazwa, bali ni kuleta Utetezi usioendana na mada husika.
Cc: Dam55
Naye pia anaunga juhudi za Magu na siyo mtz! Swali naye pia analipwa na Magu! Maana akili yako ni finyu kuunganisha dots!
Unahofia ban...Aise....
Kama humuungi mkono kama ww unashindwaje kumweleza hivyo! Hicho kitakuwa kigumu kukifanya kama mtu kama Tundu Lisu/ Lema/Mbowe ndie anakuwa kwenye nafasi ya urais! Wala Magu hayuko cheap hivyo ataheshimu mtazamo wako akijua tupo wengi tunamuunga mkono!Kwahiyo ukiwa mbele ya Magu utamwambia humuungi mkono?
Kama humuungi mkono kama ww unashindwaje kumweleza hivyo! Hicho kitakuwa kigumu kukifanya kama mtu kama Tundu Lisu/ Lema/Mbowe ndie anakuwa kwenye nafasi ya urais! Wala Magu hayuko cheap hivyo ataheshimu mtazamo wako akijua tupo wengi tunamuunga mkono!
Kwa akili yako, kuna mtu anayeunga juhudi sasa hivi akiwa mbunge na kuacha mamilioni ya pensheni yake kwa maisha haya ili iweje? Lazima aahidiwe na kupewa pesa ndefu zaidi ya hayo mafao.