Ukiona una miaka 28 halafu benki huna hata vibilioni 30, wewe si mwanaume

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Kwenye haya maisha hua nashangaa sana mtu unakuaje na miaka kuanzia 28 halafu bank account Haina hata billion 30 ambazo ni pesa za nyanya kwangu.

Aisee hivi unaishijeishije na mwanamke ambae anahitaji kutunzwa mwanamke ni mama wa pili kutoka mama yako mzazi aisee nyie masikini.

Tafuteni hela la sivyo wake zenu nitawahudumia sana na nyie wenyewe hamna Cha kunifanya sababu ni masikini tafuteni hela nyie masikini
 
Wee boya unaona utajiri wa Ngada ni dili sana eeh, umbwa wee unadhani watu hawajui source ya hela zako , maaneeneer vua viatu tuone kama hujakatwa vidole huko malawi ili uwe na hela, mbwiga wewe, usiwafokee vijana wanaotafuta hela zao kihalali Fala wee.
 
Tafuta hela masikini wewe
 
Acha utoto.

Huyo jamaa nadhani umeiba jina lake. Pamoja na kwamba yy ana mafekeche yake. Hawezi andika upumbavu kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…