Ukiona una miaka 28 halafu benki huna hata vibilioni 30, wewe si mwanaume

Ukiona una miaka 28 halafu benki huna hata vibilioni 30, wewe si mwanaume

Kwenye haya maisha hua nashangaa sana mtu unakuaje na miaka kuanzia 28 halafu bank account Haina hata billion 30 ambazo ni pesa za nyanya kwangu.

Aisee hivi unaishijeishije na mwanamke ambae anahitaji kutunzwa mwanamke ni mama wa pili kutoka mama yako mzazi aisee nyie masikini.

Tafuteni hela la sivyo wake zenu nitawahudumia sana na nyie wenyewe hamna Cha kunifanya sababu ni masikini tafuteni hela nyie masikini
Mbona baba yako amekufa masikini na hakuwahi kuoa
 
Back
Top Bottom