Ukiona una miaka 28 halafu benki huna hata vibilioni 30, wewe si mwanaume

Ni jambo jema maskini kuhamasisha watu kutafuta pesa. Ukweli umaskini sio mzuri.
 

Ha ha haaa
Kumbe wee bado unajitafuta.
Teh teh teh tihiii
 
Boss bila kuona marinda Yako tu prove kama kweli wewe ni mwanaume Uzi wako ni batili
 
Unapost ili uonekane una thread nyingi au ni sifa tuu?

shirikisha ubongo dada.......au ndo upo nyuma ya Keyboard?
 
Aisee! Ngoja kwanza nitunze "comment" yangu, niangalie upepo unavyokwenda, huenda nikarudi tena baadaye.
 
Ingawa Cheif Godlove ana tambo sana ila huyu siyo yeye wewe umezidi dharau na id yako fake
 
Kwani Tanzania ushoga umeruhusiwa lini? Naona vijana wameharibika sana, huko nyuma hawakuwa hivi hawa.
 
Hatimaye kupitia wewe singlemom tunapumua kidogošŸ¤’ kaza bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…