Ukiona unaihangaikia sana ujue siyo ya kwako mwenye nayo haiombi

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Shikamoo wakuu kama kichwa cha habari hapo juu. Ukiona mke wako anakunyima unyumba na hana time na wewe ujue hana hisia na wewe. Mwanamke anayekupenda lazima akumiss na hasiti kukuomba akiwa na
ugwadu bila hata kutumia nguvu.

Maana hisia za mwanamke zipo juu kuliko za wanaume.
 
Ndo maana mapenzi yanawaliza sana usukumani hiyo tunaita limbwata coz tunaamini mwanaume ndiye mwamba wa Lusaka kwenye familia
 
Shikamoo wakuu kama kichwa cha habari hapo juu. Ukiona mke wako anakunyima unyumba na hana time na wewe ujue hana hisia na wewe. Mwanamke anayekupenda lazima akumiss na hasiti kukuomba akiwa na
ugwadu bila hata kutumia nguvu.

Maana hisia za mwanamke zipo juu kuliko za wanaume.
Vipi kuhusu tabia zao za kikekike na kujishaua umewahi kuzifuatilia?
 
Back
Top Bottom