Ukiona unajisikia vibayavibaya huwa unafanyaje?

Ukiona unajisikia vibayavibaya huwa unafanyaje?

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
 
fe862e634a0e8b63011910415fd79e0b.jpg

Napenda kutumia hiii dawa nakua mentally and physically fit.
 
Ee ni kweli mkuu. Mi huwa naitumia hii dawa kuondoa mood yeyote mbaya mbaya na kujitengenezea mood ninayoitaka.
 
Ee ni kweli mkuu. Mi huwa naitumia hii dawa kuondoa mood yeyote mbaya mbaya na kujitengenezea mood ninayoitaka.
Ha ha haa,sema Jana walikuwa hawachokozeki....ngoma ilikuwa droo
 
Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii [emoji23]
Mungu anakuona [emoji23]
 
Back
Top Bottom