Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia nzuri na sahihi,hata kuhusu mapenz tunashauriwa kufikiria positive things za wapenz wetu mambo yanaenda sawaMi zamani nikiwa najisikia vibaya namtafuta mpenzi wangu nampa vizuri hali inaisha namvuruga mbaya saivi nikijisikia vibaya naenda nje nakaa hapo nakumbukia mazuri mengi basi narudi kwa hali yangu y kawaida au nalala
Bangi mbaya sana.Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
I think hii kitu inakata logic brain na unabakia na emotions Brain,naombeni watalaamu wanisaidie hili. Pia inabakia kuona illusion ambazo hazipo ama nakosea watalaamu wa binadamuView attachment 2395641
Napenda kutumia hiii dawa nakua mentally and physically fit.
Mkuu kweli tunapishana Kama mandinga hapa stereo K,JUU ? Tukae ka kamati babuuView attachment 2395641
Napenda kutumia hiii dawa nakua mentally and physically fit.
Yeah,mwenyewe huwa naomba ruhusa nisepe maana unaweza jikuta umegombana na watu ofisiniKama Hali ikinikuta nyumbani nakaa zangu chumbani kimya..Kama ikinikuta kibaruani nakua kimya na ikiwezekana natafuta excuse ya kutokuwepo eneo husika.
Baas tena, ni mwendo wa ma panadoMi simba bhana
Wacha tu nikusaidie, fanya hivi.Ha ha haa,aisee