Ukiona unajisikia vibayavibaya huwa unafanyaje?

[emoji28][emoji28][emoji28]Ila Fk ety ndo mana waga hip-hop
Sana hunaga maneno mengi kama ni Black unasema Black kama ni White unasema white [emoji16] hunaga mambo ya kijani kiwiti, sjui Mustred yellow
 
😊😊Mim napenda ndio nko hvi unapendeza nakwambia hapo hapo ujapendeza....
Umekosea sianzi kuzunguka
 
Sana hunaga maneno mengi kama ni Black unasema Black kama ni White unasema white [emoji16] hunaga mambo ya kijani kiwiti, sjui Mustred yellow
Yani mim niko hivo siwezi kuzunguka wakati njia rahis naiona hyo hapo
 
Mi zamani nikiwa najisikia vibaya namtafuta mpenzi wangu nampa vizuri hali inaisha namvuruga mbaya saivi nikijisikia vibaya naenda nje nakaa hapo nakumbukia mazuri mengi basi narudi kwa hali yangu y kawaida au nalala
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sasa naanzaje kujisikia vibaya ilihali mi mwenyewe kituko tosha..πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…