Ukiona unaombwa 'service road' na mpenzi wako na ukatoa 100% hatakuoa asilani abadani

kuombwa nini tena kaka

""Hivyo ukiombwa na mtu wako hiyo huduma kuna 2 au laa, mosi anataka kujua kama ni muumini wa hiyo habari, Ukijifanya unampenda sana so unampa basi atakula huo mzigo na utakuwa umefuzu kuto kuiona ndoa kwenye miaka ya hivi karibuni.

Kila mwanaume anataka mwanamke mwenye staa ya hali ya juu kuja kuwa mama wa wanae. Ila ukimpa anaipuliza tu na utajijua mwenyewe ukimnyima unakuwa umefuzu hatua ya makundi kuelekea kwenye ndoa.........""

soma hizo para' 2 za mwisho kwenye uzi husika......mkuu...🙄🙄🙄
 
Watu wanafumua marinda na kuoa wana oa.

Afu huo mchezo ji wa kaaaida sana sema wa bongo ushamba bado tunao.

Tembeen basi muone?? Au hizo dini mavi ndo zinawapepeza hv??

Mi sioni ajabu mwanamke akifanywa hivyoo, ni kawaida kabisaaaaaaa
Wewe ni kiboko!
 
""Hivyo ukiombwa na mtu wako hiyo huduma kuna 2 au laa, mosi anataka kujua kama ni muumini wa hiyo habari, Ukijifanya unampenda sana so unampa basi atakula huo mzigo na utakuwa umefuzu kuto kuiona ndoa kwenye miaka ya hivi karibuni.

Kila mwanaume anataka mwanamke mwenye staa ya hali ya juu kuja kuwa mama wa wanae. Ila ukimpa anaipuliza tu na utajijua mwenyewe ukimnyima unakuwa umefuzu hatua ya makundi kuelekea kwenye ndoa.........""

soma hizo para' 2 za mwisho kwenye uzi husika......mkuu...🙄🙄🙄
story za vijiwe hizi
 
Back
Top Bottom