Ukiona unaombwa 'service road' na mpenzi wako na ukatoa 100% hatakuoa asilani abadani

Ukiona unaombwa 'service road' na mpenzi wako na ukatoa 100% hatakuoa asilani abadani

Mwanamme mpaka anakuomba Tigo,nikwasababu keshafanya uchunguzi wake nakujua wee niaina ya Ke kwaajilo ya starehe nakukomoa tu .

Sio kila ombi lamwanamme nila upendo ,, utaombwa tigo kwaajil ya Testing tuuu hamna kingine .

Alafu ,Muomba tigo ,na Mtoaji wa Tigo , mimi huwa nayehesabu kua mapumbavu ambayo hata Wanyama aina ya Fisi wameyazidi Akili.

Niupuuzi ,naujinga ,kwa mwanadamu mwenye "Akili timamu" kufanya mapenzi kinyume na maumbile ,ni upunguani wa hali ya juu sana.

Ikiwa ningekua Rais , kutoka moyon mwangu, Watu waaina hiii walikua wananyongwa !! .
Aisee...

Bas Sawaa...
 
Service road ni maficho ya traffic, hapafai kabisa. Ni bora tubaki barabara kuu hata kama kuna jam tuvumilie tu.
 
Watu wanafumua marinda na kuoa wana oa.

Afu huo mchezo ji wa kaaaida sana sema wa bongo ushamba bado tunao.

Tembeen basi muone?? Au hizo dini mavi ndo zinawapepeza hv??

Mi sioni ajabu mwanamke akifanywa hivyoo, ni kawaida kabisaaaaaaa
Kuliwa nyuma ndio ujanja?, acha ukolo wewe
 
Hii dunia watu wametofautiana sana, lolote linawezekana..
Inategemea Mtoa mada alikaa na watu wa namna gan? Wenye uelewa gan? Na Imani gan?...
 
Umeambiwa kabla ya kufunga ndoa ni lazma nikutoneshe kwanza ndio ndoa ifungwe tofouti na hapo hakuna ndoa utafanya nini?
Nilishakataa ndoa 100% kabisaa with rich guy yaani nilikua naenda kula bata refu mnoo!!

Ila nilimuambia km huwezi acha tigo Mimi hapana!
Hakuamini!!
 
Nilishakataa ndoa 100% kabisaa with rich guy yaani nilikua naenda kula bata refu mnoo!!

Ila nilimuambia km huwezi acha tigo Mimi hapana!
Hakuamini!!
Kama hawezi kuacha tigo bhasi??? So hapo mwanzo ulikuwa unamtunuku right
 
Back
Top Bottom