General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Kawaida sana mkuu.Ogopa Karma mkuu, hivi mtoto wako wa kike akijatatuliwa halafu ukajua je? Utaona ni kawaida au ?
......
Nishasema mm sion tatizo hapo.
Mtu akifanya na mumewe mi inanihusu nini?
Labda ulazimishe pasipo yeye kutaka