Ukiona unapangiwa sana ujue kuna mtu anaikula

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Wanawake wana 100 miles tricks na wala hupaswi kuwahurumia hataa kidogo. Kuna tabia za wanawakee kuwapangia waume zao ratiba ya kuichapa. Mwanaume stuka the moment ukiwa na hamu yeye tayari ameshajimaliza huko kwa Boda wake. Usikubali mwanamke akudrive broo. Wee ichape muda wowote na usitabirike. Ukikubali kupangwa ujue kuna siku utanyimwa.
 
yote hayo uwoga tuu wakutomewaring ur babes πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Achana naye mwanamke anakupangia mnahangaika naye WA nini,wao mbona tukikosa hela wanatutafutia sababu wanatuacha , achana naye tafuta mwingine endapo hamna sababu ya maana ya kukunyima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…