Ukiona vijitabia gani au viashiria gani ujue unakaribia kupigwa kibuti?

Ukiona vijitabia gani au viashiria gani ujue unakaribia kupigwa kibuti?

Ukiona yuko busy sana na simu yake mkiwa pamoja,ile anakuwa busy kujibu text inayoingia while ukiwa mbali nae ukimtext anachukua masaa kukujibu

Sidhani kama nimeeleweka dadeq!
Anakuja kujibu baada ya masaa mawili alafu anasema leo nilikua bize kweli 😂
 
Nikitaka kukuacha,nakutegeshea ukikosea tu napitia humo humo,ila kumuacha mtu ambae hajakukosea sio vzur kabisa

Mimi huwa naacha kutokana na uchumi kunivuruga
 
Back
Top Bottom