Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Salaamu ndio desturi hasa katika jamii zetu hapa Tanzania, lakini kuna baadhi ya mikoa ambayo kuna wimbi kubwa la jamii ya watu Ambao hawaja staarabika.
Mfano mkoa wa Geita ni kawaida sana kumpa mtu Salaamu na akakataa kabisa kuitikia tofauti na mikoa ya pwani kama Tanga na kwingineko.
Mikoa hii yenye jamii kubwa ya watu Ambao hawajastaarabika ukiona Salaamu yako inashobokewa au mtu mzima anabembeleza umsalimie ujue tayari umemzidi kitu au kuna neema fulani unayo na yeye hana.