Ukiona watu wanapendana waombee heri na sio kuwagombanisha

Ukiona watu wanapendana waombee heri na sio kuwagombanisha

Hapo umelewa Penzi Mzee Baba huoni mbele Wala nyuma We don't judge you [emoji41][emoji474][emoji474][emoji474]anayejudge hajawahi kupitia unavyojisikia.....Penzi ni upofu
 
Ameandika kingereza ili kupunguza maneno,hamna mtu anachukia mahusiano ya mtu ila shida huwa inakuja pale mtu anajifanya limbukeni wa mapenzi kana kwamba yeye ndo wa kwanza kupenda na kupendwa,ishi maisha yako hakuna mwenye habari na wewe maisha yako ukiyaleta public tayari itakuwa ni mali ya public ko jiandae kupokea lolote.kabla ya kulaumu watu jisahihishe ulipokosea.
In case kama mlikuwa hamjui huyu ndio DC kisarawe ,tangu abwagwe na kukataliwa na DNA amekuwa na sumu sana
Anakosa wa kumlaumu anadhani labda ni wana jf make walikuwa wanampondea ko anadhani wamechangia
Kuna jamaa anaitwa@Smart911 anaweza kuwa reference

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Mnajuana nje ya JF?
 
The world wishes well for no damn body. Ukiwa na chako kizuri, stay low, enjoy peke yenu. Labda occassionally ndo uyaweke public. Lakini kila mara kujitahidi kuonyesha mapenzi yako/yenu katika kadamnasi, I believe katika mtu 10:mtu 1 ndo atawafurahia, wengne tisa tutamani kila aina ya baya liwatokee. It is what it is.
HII PEKEE IMETOSHA
 
Back
Top Bottom