Ukiona watu wanapendana waombee heri na sio kuwagombanisha

Ukiona watu wanapendana waombee heri na sio kuwagombanisha

Najua hiloo. Ndo Mana nakutingisha๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ, Afu mkuu ni wewe - mi mchimba chumvi tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿ˜„ unakataa cheo mkuu mm ndo ndo mchimba chumvi sasa afu ww ndo ukitakiwa uitwe mkulungwa01 ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜
 
The world wishes well for no damn body. Ukiwa na chako kizuri, stay low, enjoy peke yenu. Labda occassionally ndo uyaweke public. Lakini kila mara kujitahidi kuonyesha mapenzi yako/yenu katika kadamnasi, I believe katika mtu 10:mtu 1 ndo atawafurahia, wengne tisa tutamani kila aina ya baya liwatokee. It is what it is.
HII PEKEE IMETOSHA
Umeongea ukweli kabisa, watu sijui kwa nini wana wivu na chuki kwa watu wengine. Sijui kwa nini
 
" I'm responsible for what I say bt not responsible for your understanding"
[emoji23][emoji23]
Hiyo ni kanuni tembea nayo, vinginevyo utakua na kazi ya kumuelewesha kila mtu hata asiye na akili. Wewe sema unachotaka kusema, atakayeelewa tofauti hilo ni lake yeye
 
The world wishes well for no damn body. Ukiwa na chako kizuri, stay low, enjoy peke yenu. Labda occassionally ndo uyaweke public. Lakini kila mara kujitahidi kuonyesha mapenzi yako/yenu katika kadamnasi, I believe katika mtu 10:mtu 1 ndo atawafurahia, wengne tisa tutamani kila aina ya baya liwatokee. It is what it is.

Naamini low profile katika ndoa, mapenzi , mahusiano ni nzuri, ili yoyote yatakayotokea m-baki kuyatatua wahusika na sio jamii. Jamii huwa inaappreciate ugomvi, utengano, mabaya. Ndo maana topic za mambo ya michepuko, kimasihara, usaliti, zina comments nyingi kuliko topic za kujenga katika nyanja ya ndoa ama mahusiano.

Kila kukicha ni malalamiko, mwanamke huyu, mwanaume huyu kanifanyia this or that. Maybe unionyeshe topic yenye wachangiaji wengi ambayo imelenga kurestore broken homes ama kuwaasa vijana na wazee ili kudumu katika familia, nitakuonyesha twiga ANAYEPAA.
NAKAZIA
 
Back
Top Bottom