Ukiona zana mfukoni kwa mmeo utafanyaje?

Ukiona zana mfukoni kwa mmeo utafanyaje?

Avumiliaye mpaka mwisho atauona ufalme wa Mbinguni. Sijakata tamaa bado. Sasa Chagua wewe.

mimi nimekubaliana na hao.ila inabidi hili suala watu wasijue sasa.tutawa-PM ili tupate kura zao na misimamo yao.Badae tutatangaza matokeo kama yatakuwa mazuri.
 
Kula tano...! Kuna siku nilijisahau kuzitoa kwenye dashboard, mamsap katika pekua pekua akazikuta pale rough riders ...akaniuliza vipi tena hizi....nikawa mkali vijana wa garage hawa wajinga sana.....akaniambia inamaana wewe huwa hutumii ? Nikaishia kumwambia tuheshimiane, ila ujumbe ulinifikia!


Masa umeniacha hoi, yaani nimecheka mpaka kilio sasa, khaaa mie ningekubana walah mpaka kieleweke, yaani umeanza kujitutuma hivyo nikuachie?
 
Mpwa una bahati huna mke wa mamsap wa aina ya Carmel au Nyamayao. Lol!


ningechofanya ningehakikisha naiweka mahali fulani room ambapo inaonekana kwa uwazi, na ctaitoa mpaka yeye mwenyewe aitoe, sasa hapo lazima tu atajichekesha kuniuliza atashindwa na mie kumuuliza ndio walaaah.
 
Masa umeniacha hoi, yaani nimecheka mpaka kilio sasa, khaaa mie ningekubana walah mpaka kieleweke, yaani umeanza kujitutuma hivyo nikuachie?

hehehehe...uzuri hunipi vinafasi vya ki iivyo ndo maana tupo peace tu lol
 
Shangazi..hapo ndo utashangaa maana kibao atakachokugeuzia utadhani yeye ni malaika - hapo hajakukuta na kitu umempa warning tu! Msome Chrispin alipojibu kuhusu kukuta C kwa mamaa..ndo utaelewa..

Tatizo Vera umesahau kunigongea kale kabutton ka thanks.
 
ZD...kwa bongo yetu wanandoa wenye mawasiliano mabovu mbona ndo wengi!
Unachosema ni kweli.Kuna msemo huwa nawasikia watu wanasema ukiona kwenye gari kuna mwanamke na mwanaume halafu wanaongea na kucheka ujue hao ni mtu na kimada/nyumba ndogo.Na kama hawasemeshani yani wamenuna ,basi ujue hao ni wanandoa halisi.
 
Masa umeniacha hoi, yaani nimecheka mpaka kilio sasa, khaaa mie ningekubana walah mpaka kieleweke, yaani umeanza kujitutuma hivyo nikuachie?

Si unajua ile fomula ya wanaume usikubali hata kama utakutwa uko mtupu na mkeo/partner? Tafuta sababu yeyote ila kamwe usikubali hiyo ni sumu!
 
mimi nimekubaliana na hao.ila inabidi hili suala watu wasijue sasa.tutawa-PM ili tupate kura zao na misimamo yao.Badae tutatangaza matokeo kama yatakuwa mazuri.

Poa. Naenda kuandaa sehemu ya honeymoon kabisa.
 
Si unajua ile fomula ya wanaume usikubali hata kama utakutwa uko mtupu na mkeo/partner? Tafuta sababu yeyote ila kamwe usikubali hiyo ni sumu!


thats true Kiongozi...by the way mambo yanakwendaje mtaa wa saba hapo?
 
Kula tano...! Kuna siku nilijisahau kuzitoa kwenye dashboard, mamsap katika pekua pekua akazikuta pale rough riders ...akaniuliza vipi tena hizi....nikawa mkali vijana wa garage hawa wajinga sana.....akaniambia inamaana wewe huwa hutumii ? Nikaishia kumwambia tuheshimiane, ila ujumbe ulinifikia!

ulikamatishwa ndani ya kumi nane teh teh teh
mbaya zaidi labda ulikuwa na appointment jioni yake
home kuaga tena huwezi ....
 
Hehehe kwa hiyo jamaa huru kumega huyu dada anamjali sana mmewe big up sana wote igeni mfano huo jamani tutapona kwa gonjwa hili hatari.
ndio maana yake, mimi nikimpata mke kama huyu nitafurahi sana halafu pia hata kumega nje itakua sio sana, kutokana na kwamba mtu ukimwacha free anaogopa kuharibu tofauti na ukimbana mkuu
 
kuna dada mmoja alikua anamwekea mumewe condom kwenye bag kila akisafairi, jamaa siku akamuuliza mkewe akamwambia wewe ni mwanaume na huko uendako unakutana na mademu kibao na tamaa inakuwepo, so ni bora nikuweke ili usije kufa kwa ngoma kuliko kujidai hufanyi, so jamaa mkewe yupo free ili kuepusha kuambukiza ukimwi

Naam hata mimi hili nimeshalisikia sana tena toka midomoni kwa Wanawake wa Kitanzania. Kwa hiyo inaonekana kuna wengine wataumia sana kujua kuna mwingine anakula uroda wao lakini wengine hawataumia (kama hao wanaowafungashia waume zao zana kila wanaposafiri) na kufurahia kwamba waume zao wako makini katika kujikinga na mawayawaya.
 
Kumuwekea kondom si suala muhimu hapa suala muhimu anazitumia?
hilo sasa lipo kwa mtu binafsi, maana kuna baadhi ya watu wananzinunua kabisa lakini akifika katikati ya gemu anaivua eti anachelewa au hakuna ladha halisi, huwa wanadai utakulaje pipi na ganda lake?
 
Akina dada,mama, shangazi na bibi najua wote mna viburudisho vya kurusha navyo roho katika tunda la mema na mabaya....na mnavipenda kweli kweli maana mnasaidiana kwa kila kitu hata kungonoka.
Swali langu Je wewe mama au dada ukiona CONDOM mfukoni mwa suruali ya mmeo aidha wakati unafua au unapanga nguo chafu ikadondoka utafanyaje?

Wakuu heshima mbele!!

Nimekuwa nafuatilia michango ya hoja hii na kugundua kuwa mara nyingi wadada na wamama huwa tunafanya maamuzi bila hata kujiuliza kwa nini anazo.Wapo wengi wamesema itakuwa mwisho wengine hawajatoa wala kupataja jibu na wengine wapo kimya tu.

Jamani kumbukeni kuwa siku hizi HIV/AIDS and STD policy zipo wazi makazini kwa hiyo kila kukicha HR department wanaweza kuwa wananendesha semina juu ya kujiepusha na maambukizi ya magonjwa na jinsi ya kujikinga na zina.

Njia pekee iliyo rahisi kujinga na maambukizi ya VVU kupitia ngono ni matumizi mazuri ya kondomu;kumbuka matumizi mazuri ya kondomu.

Hivyo kabla hata hujakimbilia kumgudge kuwa ametoka kufanya ngono kama n mimi nitampongoza kwa kujijali kama mapokeo ya pongezi yangu yatakuwa mazuri nitamuuliza vipi ofisini kwenu leo mlikuwa na semina ya UKIMWI akijibu hapana ndo nitendelea na mijadala mingine hatimae ataniambia ukweli kuliko kudanganya kama mtoto mtodo eti mafundi wa gereji wameniwekea Kweli inawezekana?

Ni hayo tu wandugu
Tumsifu yesu kristo
 
kama n mimi nitampongoza kwa kujijali kama mapokeo ya pongezi yangu yatakuwa mazuri nitamuuliza vipi ofisini kwenu leo mlikuwa na semina ya UKIMWI akijibu hapana ndo nitendelea na mijadala mingine hatimae ataniambia ukweli kuliko kudanganya kama mtoto mtodo eti mafundi wa gereji wameniwekea Kweli inawezekana?

Ni hayo tu wandugu
Tumsifu yesu kristo

Hahahaha mama hii nimeipenda sana inaonyesha jinsi gani ulivyo mkomavu lakini hawa mabinti wadogo wadogo umeona majibu yao eti itakuwa mwisho mara ohh kuanzia hapo tutaanza kutumia mpaka tukapime afya zetu badala ya kushukuru kuwa mzee ana jali wao ndo hivyo wanahukumu kwani yeye si binadamu hataki kubadilisha leo ale kisamvu au tembele au kujiexpress kabisa?
Milele Amina.
 
Back
Top Bottom