Ukiondoa Dagaa na Maharage wanyonge watakula mboga gani?

Dagaa maharage hazijawahi kuwa mboga za wanyonge kilo ya dagaa unajua bei yake kilo ya maharage unajua bei yake?

Labda useme ni mboga pendwa ila sio mboga za wanyonge hata sku na moja
 
dagaa maharage hazijawahi kuwa mboga za wanyonge kilo ya dagaa unajua bei yake kilo ya maharage unajua bei yake?.

Mkuu unaongea utumbo Gani?
 
dagaa maharage hazijawahi kuwa mboga za wanyonge kilo ya dagaa unajua bei yake kilo ya maharage unajua bei yake?.
Labda useme ni mboga pendwa ila sio mboga za wanyonge hata sku na moja
Nimetoka kununua dagaa hapo Karume machinga complex kilo moja Ni elf 10 Sasa cjui mm Ni mjonge
 
Wanyonge hatuli mboga! Ni ugalu mkuubwa na mchuzi

Dagaa hata 5 tu znatosha kabisa kupendezesha bakuli, cha muhim mchuzi na kiungulia kingi
 
Back
Top Bottom