Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Kwa hiyo ukapata inferiority complex si ndiyo? Ukajiona duni mbele yake ghaflakuna siku nilikuwa bank moja nikaingia chumba cha meneja msaidizi nikamkuta dada wa makamo 42 anaongea na simu,ni kama alikuwa anapendekezewa zawadi ya dagaa na mtu aliye mkoani akawa anamjibu kwamba yeye dagaa hajawahi kula na hajui wana ladha gani hata jinsi kuwaandaa hajui[emoji28][emoji28]
dah nikawa naguna tu.