Ukiondoa Dagaa na Maharage wanyonge watakula mboga gani?

Ukiondoa Dagaa na Maharage wanyonge watakula mboga gani?

🤣🤣 comments za makasiriko nilizitegemea sana kwenye Uzi huu wakiwaki
 
akili za masikini huwa zinawaza hivi[emoji23].

*matajiri wanakula kuku na pizza kila siku.
*matajiri hawafui nguo,zikichafuka zinatupwa.
*matajiri wanahela muda wote walipo.
*matajiri hawaugui.

maharage na dagaa ni mboga za masikini ndio,lakini ni mboga za matajiri pia wenye akili lakini.
 
na masikinj anajuaga kula mboga za majani ni shida

wakati matajiri wanakula salad hadi pizza za vegetables

akili fupi mbaya sana[emoji3]
 
Nimetoka kununua dagaa hapo karume machinga complex kilo moja Ni elf 10 Sasa cjui mm Ni mjonge
Ni mnyonge kwa sababu hiyo kilo moja ya dagaa kiunyonge nyonge waweza kupata mboga ya wiki 2
 
dagaa maharage hazijawahi kuwa mboga za wanyonge kilo ya dagaa unajua bei yake kilo ya maharage unajua bei yake?.
Labda useme ni mboga pendwa ila sio mboga za wanyonge hata sku na moja
Daga bei ya chini kabisa kilo ni sh 12000, na bei inaenda hadi 30000 kwa kilo
 
akili za masikini huwa zinawaza hivi[emoji23].

*matajiri wanakula kuku na pizza kila siku.
*matajiri hawafui nguo,zikichafuka zinatupwa.
*matajiri wanahela muda wote walipo.
*matajiri hawaugui.

maharage na dagaa ni mboga za masikini ndio,lakini ni mboga za matajiri pia wenye akili lakini.
Maelekezo mazuri sn haya.Kwa mfano mama mjamzito akienda kliniki ataambiwa ale dagaa apate madini chuma,matembele apate damu nyingi etc,bila kujali hali ya kimaisha ya client
 
Maelekezo mazuri sn haya.Kwa mfano mama mjamzito akienda kliniki ataambiwa ale dagaa apate madini chuma,matembele apate damu nyingi etc,bila kujali hali ya kimaisha ya client
kuna siku nilikuwa bank moja nikaingia chumba cha meneja msaidizi nikamkuta dada wa makamo 42 anaongea na simu,ni kama alikuwa anapendekezewa zawadi ya dagaa na mtu aliye mkoani akawa anamjibu kwamba yeye dagaa hajawahi kula na hajui wana ladha gani hata jinsi kuwaandaa hajui😅😅

dah nikawa naguna tu.
 
Back
Top Bottom