Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Kwa Dar ni kawaida sana unaweza kuishi miaka na miaka bila kuonana na ndugu au jamaa yako anayeishi hapohapo Dar labda hadi muwe mmekubaliana muonane.
Kuna mkoa gani mwingine una sifa kama hiyo kwa hapa bongo?
Kuna mkoa gani mwingine una sifa kama hiyo kwa hapa bongo?