Ukiondoa English, 50% ya Wakenya jobless!

English imewasaidia sana Wakenya kufikia malengo yao kielimu. Watanzania tunajidanganya tu, ni lugha muhimu kwani wengi wanafeli sababu ya lugha. Kuanzia shule ya awali jitahidi ili mtoto wako aelewe English kama unataka afanikiwe kielimu .Tuangalie tusiumbuke katika East Africa Community, lugha kuu ni English, interview zote ni English hawaangalii usoni ili wajue umetoka nchi gani. Ni lugha muhimu tena sana
 
Huu ni ujinga mkubwa kuangalia style over substance .Mwajiri gani mjinga ataangalia kizungu chako tu na kazi hauna ujuzi wowote? Kuna wachezaji EPL hawajui kiingereza chochote lakini wanachaeza vizuri sana na kuna marubani wa ndege wengi hawana kizungu au kijerumani kizurimlakini kazi wanapata sababu cha muhimu ni kazi sio lugha.
 
Hahahaha aisee..

I believe in being loyal to ur country and all lakini hii sasa ni upuuzi.
 
Hapa kwetu tunafanya kazi na wakenya pamoja na waganda, hawa jamaa kimsingi wanafanya kazi kwa kujituma achilia mbali kuongea kiingereza ila kazi wanapiga sana.
 
Usafi? No man.
 
weee umeenda au mkuu mji wa nairobi ni mchafu mno ni hapa katikati tu ambako nako kumejaa miraa nenda isilii weeeee
 
Mimi niliefika Kenya maoni na maono yangu yapo tofauti na Barbarosa. Kama ungelisema nje ya Afrika waTanzania wajanja kuliko waKenya ningelikubali 100%.
kuna jamaa kasema Nairobi safi mkuu ulipaonaje? sijui kaadisiwa
Usiwafananishe wakenya na ww MTU wa chato, nadhani huwajui ila unaskia tu stor
 
Wewe unaangalia lugha tu au content maana sielewi hi theory yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…