Ukiondoa English, 50% ya Wakenya jobless!

Ukiondoa English, 50% ya Wakenya jobless!

English imewasaidia sana Wakenya kufikia malengo yao kielimu. Watanzania tunajidanganya tu, ni lugha muhimu kwani wengi wanafeli sababu ya lugha. Kuanzia shule ya awali jitahidi ili mtoto wako aelewe English kama unataka afanikiwe kielimu .Tuangalie tusiumbuke katika East Africa Community, lugha kuu ni English, interview zote ni English hawaangalii usoni ili wajue umetoka nchi gani. Ni lugha muhimu tena sana
 
Kazi zao ni English language tu, hiyo ndiyo skill pekee wanayojifunza maishani mwao, hivyo ukiondoa English language, nchi yote inakuwa jobless, hata Mahakamani nimeona kwenye TV iligeuka darasa la English language badala ya ishu!

Reli yote sgr wamejenga Wachina hkn engineers wa Kikenya, TV zao ni English language tu hakuna kingine, ...
Huu ni ujinga mkubwa kuangalia style over substance .Mwajiri gani mjinga ataangalia kizungu chako tu na kazi hauna ujuzi wowote? Kuna wachezaji EPL hawajui kiingereza chochote lakini wanachaeza vizuri sana na kuna marubani wa ndege wengi hawana kizungu au kijerumani kizurimlakini kazi wanapata sababu cha muhimu ni kazi sio lugha.
 
Hahahaha aisee..

I believe in being loyal to ur country and all lakini hii sasa ni upuuzi.
 
Tuseme ukweli , wanaentreprenuarship skills znuri.Hata machinga wakule wako vizuri siyo kama hapa kwetu.Mji waNairobi uko maratatu au nne ya Dar kwa Barabara, Usafi,majengo na Biashara za uhakika.Wakiendelea hivi watafika mbali. Kwakweli wanajitahidi sana
Usafi? No man.
 
Tuseme ukweli , wanaentreprenuarship skills znuri.Hata machinga wakule wako vizuri siyo kama hapa kwetu.Mji waNairobi uko maratatu au nne ya Dar kwa Barabara, Usafi,majengo na Biashara za uhakika.Wakiendelea hivi watafika mbali. Kwakweli wanajitahidi sana
weee umeenda au mkuu mji wa nairobi ni mchafu mno ni hapa katikati tu ambako nako kumejaa miraa nenda isilii weeeee
 
Mimi niliefika Kenya maoni na maono yangu yapo tofauti na Barbarosa. Kama ungelisema nje ya Afrika waTanzania wajanja kuliko waKenya ningelikubali 100%.
kuna jamaa kasema Nairobi safi mkuu ulipaonaje? sijui kaadisiwa
Usiwafananishe wakenya na ww MTU wa chato, nadhani huwajui ila unaskia tu stor
 
Wewe unaangalia lugha tu au content maana sielewi hi theory yako.
 
Back
Top Bottom