Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
English imewasaidia sana Wakenya kufikia malengo yao kielimu. Watanzania tunajidanganya tu, ni lugha muhimu kwani wengi wanafeli sababu ya lugha. Kuanzia shule ya awali jitahidi ili mtoto wako aelewe English kama unataka afanikiwe kielimu .Tuangalie tusiumbuke katika East Africa Community, lugha kuu ni English, interview zote ni English hawaangalii usoni ili wajue umetoka nchi gani. Ni lugha muhimu tena sana