Ukiondoa hasara ya shirika la Ndege ATCL, ni wapi tena penye ufisadi wa serikali ya awamu ya tano?

TANESCO
 
1.5Tril ya CAG
2Trilion ya CAG
 
Chadema ni ebora na ccm ni kansa, sasa chagua kipi bora?
Wapi matrecta ya chadema yaliyonunuliwa na mbowe?

Yanaoza badara ya kuwapa watu bure wakalimie na kuzalisha chkula.
Hayo ni matumizi mabaya ya uongozi
 
Chadema ni ebora na ccm ni kansa, sasa chagua kipi bora?
Wapi matrecta ya chadema yaliyonunuliwa na mbowe?

Yanaoza badara ya kuwapa watu bure wakalimie na kuzalisha chkula.
Hayo ni matumizi mabaya ya uongozi
Hvi nyie si ndio mliharibu mashamba ya Mbowe? Leo hii ndio mnajifanya mna penda kilimo kifanywe?

Acheni unafiki
 
Tanzania ipi hiyo? Hii ambayo wanafunzi wanakalia mawe

Tanzania ambapo hadi chato mzee anaeleza hakuna madawa ila majengo makubwa ya hospitali....huduma zero

Tanzania ambayo wakulima bado wanategemea kilimo duni cha jembe?

Tanzania ambayo 70% ya graduates wapo mtaani tu bila future hku wana madeni mazito ya HESLB?

Ama ww maendeleo ni kuona madaraja na majengo tu ndio unahitimisha Tanzania imeendelea bila kuangalia maisha ya mtu mmoja mmoja?

Funny
 
Hakuna alichofanya magufuli na wajomba zake akina doto james na team mataga ambacho hakina ufisadi. Ni bunge lipi limeidhinisha bwawa la Nyerere, uwanja wa chato, daraja la kigogo-busisi, mbuga ya chato-burigi nk?
 
Ngapi zimepotea huko mkuu
Anza na mikataba ya gas, ujenzi wa kituo cha Kinyerezi na mkataba wa ujenzi wa bomba la gas mkopo ulichukuliwa na nani na nani wanaendesha huo mradi wa kusupply gas TANESCO
 


Yote ni mi CCM , haina kheri yoyote kwa nchi . Ni mijizi tu hata iwe awamu ya 100 damu na mzimu ni ule ule wa Laanatullahi Nyerere.

Ni mpaka hiki chama kikimfuata huyo mwanzilishi wake kuzimu ndio tutapata kuvuta pumzi
 
Mzee kwanini hutaki kuelewa na umeshaambiwa Rais Magufuli hakuruhusu chombo chochote kukagua au kubainisha udhaifu/ufisadi kwenye miradi yake. Maana yake vyombo vya ukaguzi vingekuwa huru kukagua na kubainisha mapungufu/makosa/ufisadi kwenye miradi ya seeikali ya Magufuli kama ilivyokuwa enzi za JK tungeona mengi zaidi ya hiyo ATCL. Hebu jiulize maswali haya.
1. Kamati za Bunge zilikuwa wapi kwa miaka 5 ya hasara ya ATCL? Kwanini hii ya ATCL imekuja kubainika baada ya kufa Magufuli
2. Kwanini Magufuli alimg'oa CAG Asad? Kwanini Bunge halikufuatilia/kujadili Sh. 1.5T ambayo haikujulikana ilivyotumika kwa mujibu wa ripoti ya CAG?
Je, kuna ufisadi wowote enzi za JK au Mkapa au yote kwapamoja uliofikia kiasi cha Sh. 1.5 T
3. Je, kuna mkataba wowote wa miradi ya Magufuli ambayo uliwekwa wazi? Utajuaje kama hakuna ufisadi kwenye hiyo mikataba amabayo ni ya siri?
 
Kwani Richmond pesa kiasi gani ilipigwa? Nijibu hili tuende pamoja Pslmp
 
Marehemu dikiteta magufuli alikuwa hapendi kukaguliwa matumizi ya fedha za walipakodi/wanyonge, mpaka ikapelekea kumuona cag Assad kama adui wa serikali yake, so ni obvious dikiteta magufuli alifanya ufisadi mkubwa ktk kila shirika la serikali.
Alikuwa bingwa pia wa kuhonga vyeo kwa mahawara zake ni legacy pia ambayo ametuachia , mimalaya mingine mibovuuuu kama lile la Kebbys
 
Nenda kawahoji wote waliotoka Segerea kwa plea bargain wakuambie ni pesa ngapi DPP Biswalo Mganga kachukua binafsi kwa madai kuwa Mwendazake anataka na ngapi ndiyo imeingia kwenye records
 
Anza na mikataba ya gas, ujenzi wa kituo cha Kinyerezi na mkataba wa ujenzi wa bomba la gas mkopo ulichukuliwa na nani na nani wanaendesha huo mradi wa kusupply gas TANESCO
Shilingi ngapi huko zimepigwa??
 
Hakuna alichofanya magufuli na wajomba zake akina doto james na team mataga ambacho hakina ufisadi. Ni bunge lipi limeidhinisha bwawa la Nyerere, uwanja wa chato, daraja la kigogo-busisi, mbuga ya chato-burigi nk?
Tatizo sio ufisadi kumbe! Tatizo ni kuanzisha vitu visivyopendwa, Ila uwizi haupo siyo?
 
Mbona ni kama unalalamika mkuu, tutajie ufisadi (uwizi) na upotevu wa fedha uliobainishwa na CAG ukiondoa hasara ya shirika la ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…