Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hadi wewe unasema hivi? Ama kweli nchi hii imejaa wanafki mno mnoJambo la msingi nililoliona kwenye hotuba ya Freeman Mbowe jana ni ukweli kwamba tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua.
Kwa mfano Babu Tale Kigwangalla, January nk nk walipigiwa kura na nani hadi wakafika bungeni.
Kadhalika wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio wasimamizi wa uchaguzi, hapo mshindi anajulikana kabla ya uchaguzi.
Mengine aliyoongea ya ukabila na ukatili msingi wake uko ndani ya vyama vyote vya siasa, na huko serikalini vimepelekwa na wanasiasa
Ukatili unaanzia kwenye makundi kama Green guards, red nini sijui, blue....nk nk
Hilo la kufungiwa akaunti na TRA siyo jipya mzee Hashimu Rungwe akiwa NCCR alifungiwa account zote na kampuni yake ya kuuza magari kufilisiwa ikiwa na magari kibao yard na bandarini. Nadhani bwashee Mrangi wa Ufipa unaikumbuka Bahari Motors ya Spunda!
Niishie hapo.
Wewe umeshiriki sana kufa kwa watanzania kwa kumsapoti Magufuli na timu yake ya wauaji, una la kujibu mbele za Mungu.Jambo la msingi nililoliona kwenye hotuba ya Freeman Mbowe jana ni ukweli kwamba tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua.
Kwa mfano Babu Tale Kigwangalla, January nk nk walipigiwa kura na nani hadi wakafika bungeni.
Kadhalika wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio wasimamizi wa uchaguzi, hapo mshindi anajulikana kabla ya uchaguzi.
Mengine aliyoongea ya ukabila na ukatili msingi wake uko ndani ya vyama vyote vya siasa, na huko serikalini vimepelekwa na wanasiasa
Ukatili unaanzia kwenye makundi kama Green guards, red nini sijui, blue....nk nk
Hilo la kufungiwa akaunti na TRA siyo jipya mzee Hashimu Rungwe akiwa NCCR alifungiwa account zote na kampuni yake ya kuuza magari kufilisiwa ikiwa na magari kibao yard na bandarini. Nadhani bwashee Mrangi wa Ufipa unaikumbuka Bahari Motors ya Spunda!
Niishie hapo.
Mshahara kutoka wapi?Acha unafiki,mengi ya msingi ameongea,na yanasikitisha sana!
Yanaumiza,how could you do that? Unamfungia mtu acc mpk ya mshahara wake?