Shalomu Tanzania'
Kwanza, itasaidia sana, pesa nyingi zilizoelekezwa kununua magari ya viongozi, bajeti yake ielekezwe kwenye maendeleo.
Bajeti ya kunywesha mafuta magari hayo kwa mwaka mzima, pia ielekezwe kwenye maendeleo na bajeti hiyo itumike kama nyongeza ya mshahara kwa wafanya kazi.
Miaka mingi ya nyuma, dunia ilikumbwa na mgogoro wa kiuchumi, mafuta yalipanda kiasi cha kila nchi ilikipata cha moto.
Nchi ambazo hazikuwa na viongozi wazuri kichwani, ilikuwa ni mwanzo wa kudolora kwa uchumi katika nchi hizo, na kuliibuka maandamano makubwa kushinikiza viongozi wao kuachia madaraka kwa sababu ya ugumu wa maisha.
Upande mwingine, nchi kama China, kiongozi wa nchi hiyo aliona isiwe tabu, China ilistisha matumizi ya magari kwa baadhi ya viongozi wake na kuamua kutumia baiskeli.
Nchi wapenda Anasa, zilipigika vibaya na ndio kukawa mwanzo wa Taifa la China kuja juu kiuchumi.
Nashauri, Serikali yetu itumie mtindo huo wa kutumia baiskeli kwa baadhi ya viongozi wake, hii itasaidia sana kuokoa uchumi wetu kabla hatujaanza kufunga mkanda kukabiliana na anguko kubwa la uchumi.