Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I concur with that. Indeed she is!She seem great
Leta yako ya ukweli [emoji2]Aisee hapa kuna waongo wengi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najaribu kuleta ila inagoma kuattach 🤣🤣🤣🤣🤣Leta yako ya ukweli [emoji2]
Mazuri ila ukimpata kivuruge yani mwili wake uko apo roho yake na hisia zake zipo kwa mwanaume mwingine hakika utaona ni zaidi ya robotMwanamke nje ya Sex anaweza ku-offer
1. Kampani, Stori, utani, michezo,
2. Upishi
3. Malezi Kwa watoto na mume,
Mume kuogeshwa, kufuliwa na kunyooshewa nguo.
4. Starehe na burudan
Mnaweza muziki, mke anavaa mavazi ya kimuziki yenye kuvutia, kisha anaanza kucheza na kunengua,
Kukuimbia bahati nzuri Wanawake wengi wameumbwa na sauti nzuri.
Kuleta mbwembwe na madoido Kupitia mwili wake
5. Kutoa sapoti za kiuchumi.
Amini amini nakuambia Wanaume wengi siku hizi wenye vipato vikubwa wanasaidiwa Kwa sehemu kubwa na Wake zao.
Wapo wanawake wanakopa mpaka mamilioni ya pesa na kuwakabidhi waume zao kufanyia biashara.
6. Kukupa challenge za kuishtua Akili.
Moja ya jukumu la Mke mbali na kumpa mume utulivu ni pamoja na kum-challenge mume ili azidi kuchakarika kuleta maendeleo ndani ya nyumba.
Sio mke WA kila kitu ndio Mzee. Hilo garasa.
7 kukulinda.
Mke anakulinda kwani lazima awe anakufuatulia iwe Kwa kujua au kutokujua.
Ajue umetoka wapi, Kwa nini umechelewa,
Pesa Fulani imetumikaje, hizo ni KAZI za mke.
Wacha janja janja weweNajaribu kuleta ila inagoma kuattach 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Umefurahi 🤣🤣🤣🤣
Its good hapo una mtu wa maana. Hongera sana.Ananikopea kwenye vikoba.. Kipindi nikiwa juu ya mawe.
Mazuri ila ukimpata kivuruge yani mwili wake uko apo roho yake na hisia zake zipo kwa mwanaume mwingine hakika utaona ni zaidi ya robot
Yeaah ...kwa nyie watupu kichwani ni hivyo
Waafrica bwana tabu sana...yaani wanajiona nao wana akili kumbe hamna lolote. Nchi zao tuu zinakuonyesha kuwa hawa akili ila sasa waone wanavyomshambulia mtu ambaye ameshakubali ukweli wa mambo na anaendelea na kuchakata mbususuYeaah ...kwa nyie watupu kichwani ni hivyo