Ukiondoa sifa ya mapenzi ni kitu kipi kingine watu wa Tanga wanaweza kujivunia?

Mapishi ya Pwani ndio sifa zetu
Ni kweli, niliendaga kwa shem yangu mmoja mtanga. Aseeh acha kabisa,chai imewekwa mpak karoti na pilipili hoho yan chai inanukia kwa jinsi ilivyorostiwa utasema ni juice[emoji39] [emoji39]
 
Mmmmh umeongeza chumvi mnoo mkuu
 
Back
Top Bottom