Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakula kwako?Kukaa mskani kutwa nzima.
Elimu ya dini
Nasema kinachonitokea na wengine wengi. Watu ni wavivu, mwanamke anashida kwenye mkeka asubuhi jioni, siku nzima , wiki nzima, mwezi Jan-Dec. Bahati mbaya ninaishi mitaa ya wadigo! Lakini ukitoka shamba na mazo ya shamba anaomba. TENA HAWANA AIBU KUOMBA.sio kweli usitudhalilishe
아니요 --ANIYO (Hapana)Uchawiiii
Kula kwa mtu siyo hoja!Wanakula kwako?
Sawa one day nitazionjana zilivyokuwa tamu sasa wacha kabisa
karibu sanaSawa one day nitazionja
[emoji120] [emoji120] [emoji120]karibu sana
Tehtehteh bora mmehama topic.kazi anayo dj masufuria teh
Sawa Dada yangu.Hahahaaaa. Zimefika mdogo wangu.
ushoga![]()
Nawasilisha.
Hahahaaa. Haina haja kabisaaaaa.Sawa Dada yangu.
Nimeona mambo yanaenda vizuri haina haja ya kuweka tangazo
Watapashana habari wao kwa wao tuHahahaaa. Haina haja kabisaaaaa.
Nina imani wataelewa tu.
Hahahaa. Kweli kabisa mdogo wangu.Watapashana habari wao kwa wao tu