Ukiondoa sifa ya mapenzi ni kitu kipi kingine watu wa Tanga wanaweza kujivunia?

Ukiondoa sifa ya mapenzi ni kitu kipi kingine watu wa Tanga wanaweza kujivunia?

Kula mlo mmoja kwa siku na kukubambikia mzigo wa familia ukimgusa na gari hata kama hakuumia, anaona mtaji wa milo mitatu kwa siku ndio huo!
 
  • Thanks
Reactions: ywf
nimekuwa nasikia ni "wavivu" sijui kweli
 
28277108_755906537928084_7100629352439966663_n.jpg


Nawasilisha.
Nimeishia kuangalia tu huu mguu.hakika kuna watu wamebarikiwa sana nawish one day niupate.
 
Back
Top Bottom