Bila shaka mzima wa Afya?Hahahaa. Kweli kabisa mdogo wangu.
Mie mzima kabisa namshukuru Allah. Sijui wewe?Bila shaka mzima wa Afya?
Karibu tena mkuuDah nilikula sana machungwa aisee kule kabuku
Mimi pia Sijambo AlhamdulillahMie mzima kabisa namshukuru Allah. Sijui wewe?
Sawa mdogo wangu uwe na asubuhi njema.Mimi pia Sijambo Alhamdulillah
Na wewe pia Dada yanguSawa mdogo wangu uwe na asubuhi njema.
Hahahaaaa. Waambie hao.Mapishi ya Pwani ndio sifa zetu
Ni kweli, niliendaga kwa shem yangu mmoja mtanga. Aseeh acha kabisa,chai imewekwa mpak karoti na pilipili hoho yan chai inanukia kwa jinsi ilivyorostiwa utasema ni juice[emoji39] [emoji39]Mapishi ya Pwani ndio sifa zetu
Mmmmh umeongeza chumvi mnoo mkuuNi kweli, niliendaga kwa shem yangu mmoja mtanga. Aseeh acha kabisa,chai imewekwa mpak karoti na pilipili hoho yan chai inanukia kwa jinsi ilivyorostiwa utasema ni juice[emoji39] [emoji39]