Ukiondoa ubabe na mfumo mbaya ndani ya CCM Mkapa alikuwa ni Rais mzuri after Nyerere

Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja
 
Yule mkapa alietuua pemba na kupongeza polisi kwa Kazi nzuri?
Yule mkapa aliowaua wachimbaji wadogo kule bulyanhulu?
Yule mkapa aliowaua waislamu mwembe chai?
Hakuna rais alikua katili nchi hii kama mkapa baada ya magufuli
 
Nawe huo ni mtizamo wako ambao nauheshimu. But binafsi naweza sema alikuwa mmoja ya Marais bora Afrika kwa akili.

Yule mkapa alietuua pemba na kupongeza polisi kwa Kazi nzuri?
Yule mkapa aliowaua wachimbaji wadogo kule bulyanhulu?
Yule mkapa aliowaua waislamu mwembe chai?
Hakuna rais alikua katili nchi hii kama mkapa baada ya magufuli
 
Sasa huoni kuwa amefanya vyema kukiri? Kukiri ni kuonesha umelifahamu kosa na kujutia. Ulitaka anyamaze aendelee kuonesha kuwa alikuwa sahihi?

Vipi kwenye kitabu chake anapokiri kupitisha upigaji wa hela zetu takriban dola milion 100 zikasaidie kampeni za CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…