ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Akiwa na mwana chichi-emAkiwa na kadi ya chama cha Mbowe kwa siri.
Kivipi mkuuu.assume ushakaa naye zaidi ya mwaka means ushamzoeaUchafu.
Uchafu haufichiki.Kivipi mkuuu.assume ushakaa naye zaidi ya mwaka means ushamzoea
Akiwa mchafu tu kaishaje ni ipi ukiigundua itakufanya umpige chini bila maelezo ukiachilia usaliti au fumanizi.
Je,ukijua ni drug dealer
Je ,ukijua amewahi kuua?
Je,ukigundua anamiliki didlo kalificha?
Je ukigundua anatumia bangi?
Je ukigundua kitu gani kitaje?