Ukiondoa usaliti ni Jambo gani lingine ukiligundua kwa mpenzi wako mnaachana siku hiyohiyo

Ukiondoa usaliti ni Jambo gani lingine ukiligundua kwa mpenzi wako mnaachana siku hiyohiyo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
je ni ipi ukiigundua itakufanya umpige chini bila maelezo ukiachilia usaliti au fumanizi.

Je,ukijua ni drug dealer
Je ,ukijua amewahi kuua?
Je,ukigundua anamiliki didlo kalificha?
Je ukigundua anatumia bangi?
Je ukigundua kitu gani kitaje?
 
Back
Top Bottom