Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mvulana au Msichana ?Ndugu yangu kamaliza chuo 2014 mpaka sasa hivi navyicoment yuko ndani kajifungia amelala full depression, no job
Kibaya zaidi hana hata mchumba
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nikonekti naye, Mungu atakubarikiNdugu yangu kamaliza chuo 2014 mpaka sasa hivi navyicoment yuko ndani kajifungia amelala full depression, no job
Kibaya zaidi hana hata mchumba
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sijaelewa mkuuNikonekti naye, Mungu atakubariki
Nipe namba yake nimfariji huyo rafiki yako
Nipe namba zake nmuunganishe kwenye kampuni yangu.
Mwambie azurule. Siku hizi wale waoaji wa kuulizia jamani wapi kuna mdada mwenye tabia njema hawapo.
Imepita, maana haijafutwa. Mwendazake aliipiga stop tuu kwamba isianze kutumika kipindi kile, ilitakiwa aelekeze ifutwe au ifanyiwe changes.Kuna waliomaliza mikataba yao pesa zao wanapewa asilimia 33 tuu nyingine mpaka baada ya miezi 18
Hivi sheria ya fao la kujitoa imeshapita au bado?
Sandali Ali kusikia tu kuna dada hana mchumba ghafla ile huruma kwa wazee inayeyuka...hamu ya kusafisha rungu inakupandašNikonekti naye, Mungu atakubariki
Daa ndio nilikuwa naanza fm5 mpaka na mimi nimemaliza degree halafu nimeunga nae kwenye foleni.Ndugu yangu kamaliza chuo 2014 mpaka sasa hivi navyicoment yuko ndani kajifungia amelala full depression, no job
Kibaya zaidi hana hata mchumba
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Age?
Wity mie ntakubali mnipopoe tu, mshauri atoke hapo alipo mpe fare aende mkoa! Jamani kuna siri kubwa sana ya kutoka mahali ulipo ukaenda mbali kbs. Shida ya wanadaresalama wameuzoea mji wanaona wakitoka hapo hakuna kwingne kwa kwenda!Ndugu yangu kamaliza chuo 2014 mpaka sasa hivi navyicoment yuko ndani kajifungia amelala full depression, no job
Kibaya zaidi hana hata mchumba
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app