Mkuu hili nalo ni janga. Hawa jamaa wa NSSF hawako uniformity kabisa. Tulimaliza mkataba na mwanangu mmoja hivi. Yeye mafao yake alipewa miezi mi3 baada ya kukamilisha kujaza zile form. Nikapata mishe flani hivi moshi nikaondoka na makaratasi yangu kwenda nayo moshi.
Nimemaliza kujaza form nikaambiwa baada ya siku 5 mpunga utakuwa ushaingia. Nikasubiria kama mwezi hakuna kitu. Nikiwa kwenye harakati niende ofisi zao, nikapigiwa simu kwamba nipeleke vyeti vya taaluma. Nikajiuliza vyeti vya nini? Wanataka waniajiri au? Nikaona isiwe kesi.
Nikapeleka vyeti, nikaambiwa ndani ya siku 2 mzigo utaingia. Nimekaa mwezi m1 hakuna kitu. Ghafla nikapigiwa simu wananiambia kama akaunti yangu iko active. Nikataka niwatukane matusi mazito then niwaachie hela nikaona nop, nikawajibu ina maana nitakuja huko niwape akaunti mfu? Wakaniambia ok, ijumaa mzigo utasoma. Leo ni wiki ya 3 hakuna kitu.
Na nilivyopeleka vyeti nakumbuka kwenye form yangu walikuwa wameiandika 33.3. Sasa kuja hapa kuona umeandika hiyo 33 nikakumbuka kile nilichoona pale.
Ila kiukweli NSSF kwa ujumla wanakera sana. Hasa ya kule Moshi, kuna mama mmoja pale yuko reception ana lugha za maudhi sana kiasi kwamba usipokuwa na kifua unaweza jikuta ushamzaba kibao au kumtukana.
Tangu mwaka jana mwezi wa 10 nahangaika na bado sijafanikiwa
NSSF MOSHI kmmk zenu!!