Ukiondoa wastaafu wanaosubiri mafao yao, ni kundi gani jingine linaisoma namba zaidi?

Kuna waliomaliza mikataba yao pesa zao wanapewa asilimia 33 tuu nyingine mpaka baada ya miezi 18
Hivi sheria ya fao la kujitoa imeshapita au bado?
Kwanza hiyo 33% unapewa baada ya mwaka,baada ya hapo unaandika barua ya kuhamisha michango kwenda michango ya hiar zoez hili huchukua takribani miez 6 had 8 ,baada ya kuhamisha inakula tena miez 6 kulipwa mafao yako hivyo kama unataka mafao yako na kazi mkataba umekata moto inabidi ukae kwa kipindi kisichopungua miaka 3 ndipo unaweza kupata ela yako yote.hii ni true testimony
 
Kundi lingine ambalo tunasoma namba ni wakulima. Adui yetu mkubwa ni anayetupangia pa kuuza mazao yetu.
Tunalima kwa gharama zetu, bila ruzuku. tukivuna tu tunaelekezwa pa kuuza na mipaka inafungwa
Mungu anawaona
 
Mungu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapochelewesha wanakuwa wanakagua Nini?
Ila Maza akipindua Meza kwa hili atajipatia legacy kubwa Sana.

Kama ameza kupindua kanuni ya PF3
Akipindua na hii yaani atakuwa amepangua ukuta wa Jericho .
Tuzidi kuvuta subra.
 
Wanapochelewesha wanakuwa wanakagua Nini?
Ila Maza akipindua Meza kwa hili atajipatia legacy kubwa Sana.

Kama ameza kupindua kanuni ya PF3
Akipindua na hii yaani atakuwa amepangua ukuta wa Jericho .
Tuzidi kuvuta subra.
Acha tuu mkuu omba yasikukute ,ni usumbufu wa kufa mtu
 
Ndio hivyo mkuu ,sasa omba michango yako isizidi miaka 14 ,hapo utaambulia asilimia33% baada ya hapo unaambiwa subiri ustaafu ndio upewe iliyobaki ,sasa ngoma iliyobaki nayo ukiwa mzee utaambulia 25% nyingine unalipwa mdogo mdogo hadi ukate kamba.
Pengine Samia atarekebisha hili... Linaumiza sana... Watumishi wengi wamafariki kabla ya kufaidi mafao yao
Alaanike yeyote aliyeleta hii sheria kandamizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu PSSSF ni ugonjwa unaoua wastaafu. Nimewahi fwatilia mafao ya mtu wangu wa karibu alifariki 2017 nilihangaika from.hiyo 2017- 2020 ndio walinipa stahiki za marehemu tena kwa mbinde haswa. Nilitokea kuwachukia sana jamaa wanakaa ofisini hamna kitu cha maana wanachofanya.Pathetic
 
Hivi kile kikao cha Rais na Wazee wa Dsm hawakuliongea hili suala?
 

Ukiwa mbali na ulipopazoea akili ina charge sana, kama ni aibu, inaondoka, anaweza fanya vitu vingine mpaka akaona mambo yanaenda angalau
 
Wanapochelewesha wanakuwa wanakagua Nini?
Ila Maza akipindua Meza kwa hili atajipatia legacy kubwa Sana.

Kama ameza kupindua kanuni ya PF3
Akipindua na hii yaani atakuwa amepangua ukuta wa Jericho .
Tuzidi kuvuta subra.
Mama ana nia njema ya kurekebisha mambo mengi lkn je HELA zipo huko kwenye mifuko ya Jamii hilo ndio swala la muhimu la kujiliza?
Ukweli hakuna hela huko na watu ni wengi wanadai Mafao yao hela zote zimeyayukaa
nakibaya zaid kila mwaka wastafaa wanaongeza.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…