Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #41
AhahahaSandali Ali kusikia tu kuna dada hana mchumba ghafla ile huruma kwa wazee inayeyuka...hamu ya kusafisha rungu inakupandaš
Hii kitu hii! Hatari sana.
Mwanasiasa ni shetani kabisa.Ndio hivyo mkuu ,sasa omba michango yako isizidi miaka 14 ,hapo utaambulia asilimia33% baada ya hapo unaambiwa subiri ustaafu ndio upewe iliyobaki ,sasa ngoma iliyobaki nayo ukiwa mzee utaambulia 25% nyingine unalipwa mdogo mdogo hadi ukate kamba.
Nice adviceMwambie azurule. Siku hizi wale waoaji wa kuulizia jamani wapi kuna mdada mwenye tabia njema hawapo.
Siku hizi watu wanakutana mitandaoni, kazini, kwenge sherehe, kwenye daladala.
Na kwasababu ni graduate kashajiwekea 'class' watu wengine wanaona siyo wa aina yao.
Kwa mishahara huuhuu wa bongo au America? Yaani take-home haizidi 5 lakh na unawasomesha chuo waliokosa boom, wanakula, wanasafiri to and from, wanavaa na wantibiwa halafu uwe na Amina ya 10m. Acha masihara dogo!By the time mtu unagonga miaka 50, ni vyema kuanza kujiandaa na kustaafu kwa kuhakikisha angalau una nyumba yako (usiniambie kujenga haiwezekani hasa kwa familia ambayo baba na mama wote wanapata mishahara).
Angalau una ka gari kagumu na fuel efficient kama Vitz au IST, una ka akiba benki angalau milioni kumi na pia uwe unamiliki miradi midogo midogo hasa ya kilimo na ufugaji.
Tofauti na hapo ni stress tupu baada ya kustaafu!
Toa suluhisho la Nini kifanyike kwani kuandika humu ni easy! Mimi najitolea kuandaa maandamano ya namna yoyote ya amani au vurugu kuilazimisha serikali ije na utaratibu wa kila mstaafu kukabidhiwa check ya mafao yake ndani ya mwezi mishahara wake ulipogomea!wastaafu wanatia huruma uku mtaan jmn iv kwann serekal isunde mfumo ambao sku unachukua barua yako ya kumalza utumish unapita uhasibu unachukua chek yako unaenda benk wanadposit pesa yako?? mafao yamekua kama n den wakat kila mwez mtu unakatwa na hujawah kuacha kukatwa kuchangia hil taifa lilitungiwa baadh ya sera na watu wapuuz sana
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Kama ni wa kike niunganishe nae hapa tuendeleze maishaNdugu yangu kamaliza chuo 2014 mpaka sasa hivi navyicoment yuko ndani kajifungia amelala full depression, no job
Kibaya zaidi hana hata mchumba.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Dah! Kama una 50+ na bado unapokea take home ya 500k, basi kuna mahali ulikosea. Inawezekana ulivyoingia kazini ulibweteka, hukujiendeleza kielimu.Kwa mishahara huuhuu wa bongo au America? Yaani take-home haizidi 5 lakh na unawasomesha chuo waliokosa boom, wanakula, wanasafiri to and from, wanavaa na wantibiwa halafu uwe na Amina ya 10m. Acha masihara dogo!
Wa fao la kujitoaBinafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani.
Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao.
Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli inaanza tena.
Kama mtumishi hana mradi wowote wallah anaweza kufa kwa njaa au pressure pindi atakapostaafu maana kipindi cha kusubiria mafao hakitabiriki.
Hujui unachokiandika. Fanya utafiti wa mishahara ya wafanyakazi wa sekta ya umma utapata jibu la hoja yako!Dah! Kama una 50+ na bado unapokea take home ya 500k, basi kuna mahali ulikosea. Inawezekana ulivyoingia kazini ulibweteka, hukujiendeleza kielimu.
ukiona wazee wanavyofuatilia nakuambulia patupu mafao yao ya kustaafu,hakuna haja ya kulilia kuajiriwa na serikali1. Waliomaliza vyuo vikuu hawana kazi
2. Wafanya biashara ya utalii
3. Watumishi wa umma mishahara tangu 2015 hadi leo hakuna nyongeza
Jamani hapa na stress kidogo ivi anaejua ile nyimbo ya CCM mbele kwa mbele kaimba Nani Mana nataka niidownload ata inipe faraja mna so kwa Moto huu nilioona kwenye ajira za serikali [emoji23][emoji23]Binafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani.
Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao.
Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli inaanza tena.
Kama mtumishi hana mradi wowote wallah anaweza kufa kwa njaa au pressure pindi atakapostaafu maana kipindi cha kusubiria mafao hakitabiriki.
Zengwe la Mafao ni kilio cha kila mtu haijalishi uko serikalini au private.ukiona wazee wanavyofuatilia nakuambulia patupu mafao yao ya kustaafu,hakuna haja ya kulilia kuajiriwa na serikali
Mkuu tutaendelea kupaza sauti zetu mpaka kielewekeAcha tuu mkuu omba yasikukute ,ni usumbufu wa kufa mtu
Mkuu hili nalo ni janga. Hawa jamaa wa NSSF hawako uniformity kabisa. Tulimaliza mkataba na mwanangu mmoja hivi. Yeye mafao yake alipewa miezi mi3 baada ya kukamilisha kujaza zile form. Nikapata mishe flani hivi moshi nikaondoka na makaratasi yangu kwenda nayo moshi.Kuna waliomaliza mikataba yao pesa zao wanapewa asilimia 33 tuu nyingine mpaka baada ya miezi 18
Hivi sheria ya fao la kujitoa imeshapita au bado?
Mkuu hili nalo ni janga. Hawa jamaa wa NSSF hawako uniformity kabisa. Tulimaliza mkataba na mwanangu mmoja hivi. Yeye mafao yake alipewa miezi mi3 baada ya kukamilisha kujaza zile form. Nikapata mishe flani hivi moshi nikaondoka na makaratasi yangu kwenda nayo moshi.
Nimemaliza kujaza form nikaambiwa baada ya siku 5 mpunga utakuwa ushaingia. Nikasubiria kama mwezi hakuna kitu. Nikiwa kwenye harakati niende ofisi zao, nikapigiwa simu kwamba nipeleke vyeti vya taaluma. Nikajiuliza vyeti vya nini? Wanataka waniajiri au? Nikaona isiwe kesi.
Nikapeleka vyeti, nikaambiwa ndani ya siku 2 mzigo utaingia. Nimekaa mwezi m1 hakuna kitu. Ghafla nikapigiwa simu wananiambia kama akaunti yangu iko active. Nikataka niwatukane matusi mazito then niwaachie hela nikaona nop, nikawajibu ina maana nitakuja huko niwape akaunti mfu? Wakaniambia ok, ijumaa mzigo utasoma. Leo ni wiki ya 3 hakuna kitu.
Na nilivyopeleka vyeti nakumbuka kwenye form yangu walikuwa wameiandika 33.3. Sasa kuja hapa kuona umeandika hiyo 33 nikakumbuka kile nilichoona pale.
Ila kiukweli NSSF kwa ujumla wanakera sana. Hasa ya kule Moshi, kuna mama mmoja pale yuko reception ana lugha za maudhi sana kiasi kwamba usipokuwa na kifua unaweza jikuta ushamzaba kibao au kumtukana.
Tangu mwaka jana mwezi wa 10 nahangaika na bado sijafanikiwa
NSSF MOSHI kmmk zenu!!
Customer Service kwa government institutions iko chini Kama kuzimu,ukiingia tu pale unajuta kwanini ulizaliwa Maskini au kwanini ulizaliwa Tanzania.Mkuu hili nalo ni janga. Hawa jamaa wa NSSF hawako uniformity kabisa. Tulimaliza mkataba na mwanangu mmoja hivi. Yeye mafao yake alipewa miezi mi3 baada ya kukamilisha kujaza zile form. Nikapata mishe flani hivi moshi nikaondoka na makaratasi yangu kwenda nayo moshi.
Nimemaliza kujaza form nikaambiwa baada ya siku 5 mpunga utakuwa ushaingia. Nikasubiria kama mwezi hakuna kitu. Nikiwa kwenye harakati niende ofisi zao, nikapigiwa simu kwamba nipeleke vyeti vya taaluma. Nikajiuliza vyeti vya nini? Wanataka waniajiri au? Nikaona isiwe kesi.
Nikapeleka vyeti, nikaambiwa ndani ya siku 2 mzigo utaingia. Nimekaa mwezi m1 hakuna kitu. Ghafla nikapigiwa simu wananiambia kama akaunti yangu iko active. Nikataka niwatukane matusi mazito then niwaachie hela nikaona nop, nikawajibu ina maana nitakuja huko niwape akaunti mfu? Wakaniambia ok, ijumaa mzigo utasoma. Leo ni wiki ya 3 hakuna kitu.
Na nilivyopeleka vyeti nakumbuka kwenye form yangu walikuwa wameiandika 33.3. Sasa kuja hapa kuona umeandika hiyo 33 nikakumbuka kile nilichoona pale.
Ila kiukweli NSSF kwa ujumla wanakera sana. Hasa ya kule Moshi, kuna mama mmoja pale yuko reception ana lugha za maudhi sana kiasi kwamba usipokuwa na kifua unaweza jikuta ushamzaba kibao au kumtukana.
Tangu mwaka jana mwezi wa 10 nahangaika na bado sijafanikiwa
NSSF MOSHI kmmk zenu!!
BelzeboolMwanasiasa ni shetani kabisa.
Wakati anapanga hiyo sheria yeye anasubiri miaka 5 iishe avute mamilioni yake
aliyemwambia akimaliza chuo ataletewa barua ya ajira nani?? atoke akapambaneNdugu yangu kamaliza chuo 2014 mpaka sasa hivi navyicoment yuko ndani kajifungia amelala full depression, no job
Kibaya zaidi hana hata mchumba.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app