JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Hivi mstaafu mpaka unatimiza miaka 60!Binafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani.
Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao.
Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli inaanza tena.
Kama mtumishi hana mradi wowote wallah anaweza kufa kwa njaa au pressure pindi atakapostaafu maana kipindi cha kusubiria mafao hakitabiriki.
Hivi mstaafu mpaka unatimiza miaka 60!
Hata chumba kimoja Cha kupangisha huna!!!?mpaka uanze Kusukumana kwenye Daladala wakati unaenda nssf
Waziri wa Fedha amegusia masuala ya mifuko ya Hifadhi Ila sijui kwanini hakugusa suala la kikokotoo.Hivi mstaafu mpaka unatimiza miaka 60!
Hata chumba kimoja Cha kupangisha huna!!!?mpaka uanze Kusukumana kwenye Daladala wakati unaenda nssf
Ni me au Ke mkuu?Ndugu yangu kamaliza chuo 2014 mpaka sasa hivi navyicoment yuko ndani kajifungia amelala full depression, no job
Kibaya zaidi hana hata mchumba.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu kamaliza chuo 2014 mpaka sasa hivi navyicoment yuko ndani kajifungia amelala full depression, no job
Kibaya zaidi hana hata mchumba.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Binafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani.
Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao.
Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli inaanza tena.
Kama mtumishi hana mradi wowote wallah anaweza kufa kwa njaa au pressure pindi atakapostaafu maana kipindi cha kusubiria mafao hakitabiriki.
NSSF wanatengeneza nchi ambayo itakuwa na looters na insurgency Kama South Africa.Hili fukuto na Volcano inayowaka Ni Kama Covid haitawaacha matajiri salama.NSSF you are the loosersWity mie ntakubali mnipopoe tu, mshauri atoke hapo alipo mpe fare aende mkoa! Jamani kuna siri kubwa sana ya kutoka mahali ulipo ukaenda mbali kbs. Shida ya wanadaresalama wameuzoea mji wanaona wakitoka hapo hakuna kwingne kwa kwenda!
Mie ni muumini sana wa kutoka kwenye comfort zone!