Ukiondoa waziri mkuu anayefuata kwa Kazi nzuri ni Waziri!

Ukiondoa waziri mkuu anayefuata kwa Kazi nzuri ni Waziri!

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,436
Reaction score
7,955
Sijawah kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok.
Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea kilimo kuyumba kwa muda.

ila kwa kasi anayoenda nayo Bashe I hope na naibu wake angekuwa hivi yaan mambo yangekaa safi.

Nimefurah anatatua tatizo hapo hapo mbele ya wananchi, mtu anakula hela za wakulima na bado anadunda mtaan, Bashe anakama anaweka ndani mpaka walipe hela za wakulima! hawa vyama vya ushirika wapumbafu sana hawa wanapenda kukaa na hela za wakulima muda mrefu mwishowe wanawaibia.

Nasema BASHE piga kazi ya Rais Samia hiyo unamsaidia sana sana sana kamata wezi weka ndani piga na viboko!
kazi nzuri Mungu atakulinda.


 
Back
Top Bottom