Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke

Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke,
1732049933730.jpg
akili ihame yaani wa hisia zako hat sauti yake tu inakupa namna ya kuuhisi upendo na kuwaza mbali💞

Hakikisha unahusiana na mtu ambaye hata ukisikia sauti yake tu unapangawa, ukimuwaza unakosa utulivu bila kusikia sauti yake hauwi sawa mtu wa dhaifu wako. Yule mtu ukiongea naye unalowa, unajihisi umeongea na mtu wa udhaifu wako. Kama mtu uliyenaye unaongea naye kama unaongea na mama au baba mzazi basi haya mambo huwezi nielewa wewe baki na HISIA zako za kuunganisha kama kamba za kuvutia kokoro la furu za ziwa Tanganyika rafiki

Unatakiwa udate na mtu wa hisia zako, huyo ndiye hata nauli yako haikuumi, pesa na vyote vyako ukivitumia kwa ajili yake huumii kabisa

Kama uko na mahusiano na mtu ukitumia pesa yako kwa ajili yake unaumia sana au unamdai achana na hayo mahususi hutokuwa na amani nayo kwasababu mapenzi hayana umimi rafiki

Unaongea na mtu usiku umejilaza hata huhisi chochote achana na hayo mahusiano rafiki 😀.
 
Back
Top Bottom