Ukiota uko shule ya msingi

Ukiota uko shule ya msingi

AI dennis

Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
62
Reaction score
54
Watu wengi wamekua wakiota wako shule za msingi walizosomaga na wako hawajui maana yake

Tafsiri yake ni kwamba ukiota uko shule ya msingi maana yake kuna HBO unataka kufanya halina msingi mzuri

Mfano kuna MTU anataka kuoa ghafla usiku anaota yuko shule ya msingi, anajaribu kuambiwa msingi wako sio mzuri na kama ukio oa au kuolewa ndo yako haitakua imara Kwa sababu msingi sio mzuri

Wako wanaotaka kuacha kazi ili wajiajiri ghafla wanaota wako shule ya msingi, unaajiribu kuambiwa msingi wako sio mzuri Kwa hy usiache Nazi

Unapoota uko shule ya msingi usiipuuzie tafakari jambo ambalo unampango wa kulifanya msingi wake sio mzuri
 
Na Ukiota uko vidudu....
Ndio kbsaaa hilo jambo acha kbsaaa....
Haiwezekani mtu mzima una ndevu ka dododki unaletewa masuala ya vidudu...
Ni dhereuuuu
 
Unajulishwa kwamba kuna jambo linalokusumbua sasa ambalo linasababishwa na wewe kukosa msingi mzuri
pia
unajulishwa kuwa unatumia fikra za zamani ktk nyakati za sasa
kuna hatua za msingi unazozihitaji ili kubeba aina na kiwango cha maisha au jambo unalolitarajia
 
Na wale waoota wapo Chuo Kikuu na walimaliza zamani ina maana gani?
 
Naona siku hizi kila mtu ni Msaikolojia, Mtabiri njozi, Mwanasheria, Daktari,
 
Watu wengi wamekua wakiota wako shule za msingi walizosomaga na wako hawajui maana yake

Tafsiri yake ni kwamba ukiota uko shule ya msingi maana yake kuna HBO unataka kufanya halina msingi mzuri

Mfano kuna MTU anataka kuoa ghafla usiku anaota yuko shule ya msingi, anajaribu kuambiwa msingi wako sio mzuri na kama ukio oa au kuolewa ndo yako haitakua imara Kwa sababu msingi sio mzuri

Wako wanaotaka kuacha kazi ili wajiajiri ghafla wanaota wako shule ya msingi, unaajiribu kuambiwa msingi wako sio mzuri Kwa hy usiache Nazi

Unapoota uko shule ya msingi usiipuuzie tafakari jambo ambalo unampango wa kulifanya msingi wake sio mzuri
Nimekuelewa nusu sijakuelewa nusu
 
Na Ukiota uko vidudu....
Ndio kbsaaa hilo jambo acha kbsaaa....
Haiwezekani mtu mzima una ndevu ka dododki unaletewa masuala ya vidudu...
Ni dhereuuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na Ukiota uko vidudu....
Ndio kbsaaa hilo jambo acha kbsaaa....
Haiwezekani mtu mzima una ndevu ka dododki unaletewa masuala ya vidudu...
Ni dhereuuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom