Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nawashauri tu wanaoppteza muda wao kudhani kwamba wanaweza kupambana na Tundu Antiphas Lissu.
Sauti kutoka Within inasema kamwe hamtafanikiwa mtapoteza muda na rasilimali zenu.
Kwani huyu Mtu anaombewa sana na Sala na Dua zao Malaika wa Mbinguni wanazipokea na Mungu ana muhifadhi.
Wakati Daniel akiomba Msaada na Toba ili Taifa lake likombolewe kutoka ktk mikono ya Watawala wa Mkono wa Chuma, akiwa kando kando ya Mto Hedekeli kule Persia Irani ya Kale, Malaika Gabriel alimtokea na Kumwambia Tangu Mwanzo wa Maombi yake Mungu alimsikiliza na kupokea maombi yake. Daniel sura ya 9.
Tundu lissu huombewa usiku na mchana na Wananchi wote wenye mapenzi mema, na zaidi huombewa na Watumishi Waaminifu wa Mungu kama Shekh Ponda Issa Ponda, Askofu Mwamakula, Mapadre na maaskofu wengi. Mitume na manabii Kadhaa, Mashekhe na Maustadhi ambao majina ni mengi kuwataja kwenye safu hii.
Mungu awabariki sana.
Allakhuakbar