Ukipambana na Lissu ujue hutakaa ufanikiwe, huyu Mtumishi anaombewa sana

Lisu hajawahi kumuomba mtu yoyote tena yeye Amesaidiavmaelfu yacwatu bure kuwatoavmagerezani watu ambao walibambikiwa makesi ya uonevu. Lisu analipwa fadhila kwa mema mengi aliyo watendea watu. Lisu anamaisha yake mazuri tu na anafanya kazi nyingi sana za jujitolea. Na fedha nyingi anazopewa na watu zinarudi kuwahudumia watu. Lisu ni sawa na Yakobo Lisu ni mshindi na huwezi kushindana na mshindi muulizeni Baba yenu
acha upotoshaji gentleman 🐒
 
“Hii ndiyo maana ya maneno haya:

Mene : Mungu amezihesabu siku za utawala wako (wa CCM) na kuukomesha.

"Tekeli : Wewe (CCM) umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua.

"Peresi : Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi (wale watakao iasi na kuikimbia CCM) na Waajemi (utawala mpya wa CDM).

Tabiri zote kwa sasa zinatupeleka katika utimilifu na ukamilifu wa Neno hili. The last kicks of the dying horse.
 
Nawashauri tu wanaoppteza muda wao kudhani kwamba wanaweza kupambana na Tundu Antiphas Lissu.

Sauti kutoka Within inasema kamwe hamtafanikiwa mtapoteza muda na rasilimali zenu.

Kwani huyu Mtu anaombewa sana na Sala na Dua zao Malaika wa Mbinguni wanazipokea na Mungu ana muhifadhi.

Wakati Daniel akiomba Msaada na Toba ili Taifa lake likombolewe kutoka ktk mikono ya Watawala wa Mkono wa Chuma, akiwa kando kando ya Mto Hedekeli kule Persia Irani ya Kale, Malaika Gabriel alimtokea na Kumwambia Tangu Mwanzo wa Maombi yake Mungu alimsikiliza na kupokea maombi yake. Daniel sura ya 9.

Tundu lissu huombewa usiku na mchana na Wananchi wote wenye mapenzi mema, na zaidi huombewa na Watumishi Waaminifu wa Mungu kama Shekh Ponda Issa Ponda, Askofu Mwamakula, Mapadre na maaskofu wengi. Mitume na manabii Kadhaa, Mashekhe na Maustadhi ambao majina ni mengi kuwataja kwenye safu hii.

Mungu awabariki sana.

Allakhuakbar
Niliona Moja ya clip anaombewa baraka za mapepo, arafu ye katulia na hayo mapepo
 
Huu Ujumbe wa Mzee Wasira kabisa

Mambo ya nyakati haya
 
Mkuu we ni mtu mkubwa kiongozi naomba unipatie ata connection ya kazi gentleman
Usistaajabu kati ya wale waliokuwa wajipaka kinyesi kwenye kusherehekea miaka 48 ya CCM na huyo unaemuita mtu mkubwa alikuwamo.

Asilimia kubwa wanaojifanya CCM kindaki ndaki humu ni makapuku wa mwisho. Utawakuta kwenye maofisi ya chama wakiranda randa bila muelekeo maalum.
 
Ki
Mwenyezi Mungu kamchagua na atamshindia
Kitendo Cha kupigwa risas nyingi na kupona ni ishara Tosha kuwa huyu mtu siyo wa kawaida. Watesi wake sidhani kama wanaishi wote saivi.. MKAPA HAYUPO, MAGUFULI HAYUPO, MAKAMANDA WENGI WALIOMWEKA NDANI KUANZIA MWAKA 95 .. HAWAPO.. WALIOPO WAMEJAWA HOFU TUPU......NGOJA TUONE
 
Aisee
 
Kikwete hakumsumbua kabisa enzi zake
 
Usistaajabu kati ya wale waliokuwa wajipaka kinyesi kwenye kusherehekea miaka 48 ya CCM na huyo unaemuita mtu mkubwa alikuwamo.

Asilimia kubwa wanaojifanya CCM kindaki ndaki humu ni makapuku wa mwisho. Utawakuta kwenye maofisi ya chama wakiranda randa bila muelekeo maalum.
Wengi ni wale waliokata tamaa ukiacha wachache kwenye paylist
 
Sema kama unachuki binafsi naye ila siku moja Lisu atawekwa kwenye List ya watakatifu ambao Mungu anapendezwa nao. Tuzidi kumuombea Lisu aweze kufika kwenye Target ambayo Mungu amempangia
Amina
 
Kikwete hakumsumbua kabisa enzi zake
Kikwete alijua moto wa huyu jamaa. " Kuna wakati aliwahi kusema ni BORA SLAA AWE RAIS KULIKO LISSU KUWA BUNGENI"! KIKWETE HAKUMSUMBUA SANA KAMA MKAPA NA MAGUFULI, MAGUFULI ALIFANYA KITUKO CHA KUDIRIKI KUTUMIA RISASI, MKAPA ALIMWEKA NDANI MWAKA 1996 , MWEZI WA 12... ILIKUWA NI SHIDA, DUNIA IKATANGAZA KUWA MWANAHARAKATI WA HAKI ZA BINADAM AKAMATWA NA KUWEKWA NDANI. KESI HIYO IKIDUMU MIAKA 6!
 
niko na nguvu ya kufanya kazi, siwezi kujifanya maskini nisie na nguvu ya kufanya kazi ili niwe ombaomba kama huyo kibaraka alieifedhehesha sana familia, ndugu, jamaa na marafiki kwa kuomba omba kuchangiwa pocket money 🐒
Maneno na matendo ya hovyo hovyo kama haya dhidi ya Lissu ndiyo yalipelekea mzee wenu akatafunwa na finyofinyo
 
elezea vizuri kwa utulivu kinagaubaga kwa faida ya wadau gentleman :HAhaa:
 
Back
Top Bottom